Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,341
- 6,913
Mapenzi hayachagui iwe sokoni,msibani,kanisani,msikitini, jamvini unaweza mpata umpendae kwani hajui kuwa Marry Diana kaolewa kupitia Jf??Karne hii kuna watu bado wanasumbuka na wanawake? Mademu shazi mtaani tena vitu tight sio used 😂