Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,139
Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?
Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki we mama? Mara ngapi tuwaambie hatutaki kuongozwa na wauaji? Hivi wenzetu nyie mmeumbwaje, mna chembe hata kidogo ya huruma nyie?
What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Kwani unatuonaje sisi Watanzania. Kwa nini unakuwa na roho mbaya hivi, hii roho ya chuki na mauaji umeitoa wapi we mama?
Sisi Watanzania na kuuana wapi na wapi? Mbona mnatuletea mambo machafu ambayo hatujayazoea. Hivi hujawahi hata kujutia kwa watu wasio na hatia mliowaua October 29? Mbona unakosa utu we mama. Unahitaji nini kuelewa kuwa wananchi wamewakataa? Mbona ni king'ang'anizi hivi we mwanamke?
Si uachie madaraka? Kwani unasubiri nini, hivi mnajua bado tuna machungu na mambo mliofanya, cha kushangaza bado mnaendelea kuyafanya. Unatutafuta nini?
Wewe una nini kinachofanya ujione una mamlala ya kuua Watanzania vile unavyotaka? Unajua maumivu tunayopitia we shetani? Angeuliwa Wanu au Abduli ungejisikiaje? Unadhani uliowaua hawana ndugu, au ndugu zao hawana hisia? Baada ya kuona machafuko ulishindwa nini kujiuzulu. Kwa nini uko hivyo, umekulia ulimwengu gani wewe hadi unakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
nchi ziko nyingi ndugu paguro newtonWewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?
Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki we mama? Mara ngapi tuwaambie hatutaki kuongozwa na wauaji? Hivi wenzetu nyie mmeumbwaje, mna chembe hata kidogo ya huruma nyie?
What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Unatuonaje sisi Watanzania?
Yani kwa nini unakuwa na roho mbaya hivi, hii roho ya chuki na mauaji umeitoa wapi we mama?
Sisi Watanzania na kuuana wapi na wapi? Mbona mnatuletea mambo machafu ambayo hatujayazoea. Hivi hujawahi hata kujutia kwa watu wasio na hatia mliowaua October 29? Mbona unakosa utu we mama. Unahitaji nini kuelewa kuwa wananchi wamekukataa? Mbona ni king'ang'anizi hivi
Si uachie madaraka? Kwani unasubiri nini, hivi mnajua bado tuna machungu na mambo mliofanya, cha kushangaza bado mnaendelea kuyafanya. Unatutafuta nini?
Wewe una nini kinachofanya ujione una mamlaka ya kutuua Watanzania vile unavyotaka? Kwani wewe ndio umetuleta duniani? Hii nchi ni wewe ndio uliiumba? Unajua maumivu tunayopitia we shetani? Angeuliwa Wanu au Abduli ungejisikiaje? Unadhani uliowaua hawana ndugu, au ndugu zao hawana hisia? Baada ya kuona machafuko ulishindwa nini kujiuzulu. Kwa nini uko hivyo, umekulia ulimwengu gani wewe hadi unakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
Samia hawezi kufanya chochote bila ridhaa ya Watanganyika wenzako.Yeye ni mgeni kwenye nchi ya kigeni. Hiyo nchi yake imevamiwa ataweza kufanya kitu? Ni kwa kuwa amepewa kibali na WatanganyikaWewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?
Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki we mama? Mara ngapi tuwaambie hatutaki kuongozwa na wauaji? Hivi wenzetu nyie mmeumbwaje, mna chembe hata kidogo ya huruma nyie?
What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Unatuonaje sisi Watanzania?
Yani kwa nini unakuwa na roho mbaya hivi, hii roho ya chuki na mauaji umeitoa wapi we mama?
Sisi Watanzania na kuuana wapi na wapi? Mbona mnatuletea mambo machafu ambayo hatujayazoea. Hivi hujawahi hata kujutia kwa watu wasio na hatia mliowaua October 29? Mbona unakosa utu we mama. Unahitaji nini kuelewa kuwa wananchi wamekukataa? Mbona ni king'ang'anizi hivi
Si uachie madaraka? Kwani unasubiri nini, hivi mnajua bado tuna machungu na mambo mliofanya, cha kushangaza bado mnaendelea kuyafanya. Unatutafuta nini?
Wewe una nini kinachofanya ujione una mamlaka ya kutuua Watanzania vile unavyotaka? Kwani wewe ndio umetuleta duniani? Hii nchi ni wewe ndio uliiumba? Unajua maumivu tunayopitia we shetani? Angeuliwa Wanu au Abduli ungejisikiaje? Unadhani uliowaua hawana ndugu, au ndugu zao hawana hisia? Baada ya kuona machafuko ulishindwa nini kujiuzulu. Kwa nini uko hivyo, umekulia ulimwengu gani wewe hadi unakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
Kibali gani? Sisi Watanganyika tumempa kibali gani huyu muuaji asiye na haya? Mbona tulimkataa hadharani akaamua kuua ndugu na marafiki zetu? Akajiona yeye ndio anatumiliki kwamba anaweza kutuua tu anavyotaka. Anaona Watanzania kama mifugoSamia hawezi kufanya chochote bila ridhaa ya Watanganyika wenzako.Yeye ni mgeni kwenye nchi ya kigeni. Hiyo nchi yake imevamiwa ataweza kufanya kitu? Ni kwa kuwa amepewa kibali na Watanganyika
Hawa mashetani siku yao itafika tu. Wameua watu wengi vile kwa sababu wanajua ni wanyonge hawana cha kuwafanya ila ipo siku
Watu mkiwa mnanufaika huwa hamsikii chochote zaidi ya kukejeli.nchi ziko nyingi ndugu paguro newton
Alivo tu anaonekana ana kiburi cha uzima!
Mweka hazna TECWatu mkiwa mnanufaika huwa hamsikii chochote zaidi ya kukejeli.
Anatuona Watanzania ni WAJINGA na WAOGA, jambo ambalo ni KWELI 100% yupo sahihi.What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Unatuonaje sisi Watanzania?
unataka tuseme uongo ndo ufurahi?Watu mkiwa mnanufaika huwa hamsikii chochote zaidi ya kukejeli.
πππMimi huwa nahisi samuya anaroho ya yule kitimoto.