Hivi Samia una roho ya aina gani we mama

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
477
Reaction score
1,068
Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu.

Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?

Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki we mama? Mara ngapi tuwaambie hatutaki kuongozwa na wauaji?

Hivi wenzetu nyie mmeumbwaje, mna chembe hata kidogo ya huruma nyie?

What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Unatuonaje sisi Watanzania?

Yani kwa nini unakuwa na roho mbaya hivi, hii roho ya chuki na mauaji umeitoa wapi we mama?

Sisi Watanzania na kuuana wapi na wapi? Mbona mnatuletea mambo machafu ambayo hatujayazoea. Hivi hujawahi hata kujutia kwa watu wasio na hatia mliowaua October 29? Mbona unakosa utu we mama.

Unahitaji nini kuelewa kuwa wananchi wamekukataa? Mbona ni king'ang'anizi hivi
Si uachie madaraka? Kwani unasubiri nini, hivi mnajua bado tuna machungu na mambo mliofanya, cha kushangaza bado mnaendelea kuyafanya. Unatutafuta nini?

Wewe una nini kinachofanya ujione una mamlaka ya kutuua Watanzania vile unavyotaka? Kwani wewe ndio umetuleta duniani? Hii nchi ni wewe ndio uliiumba?

Unajua maumivu tunayopitia ? Angeuliwa Wanu au Abduli ungejisikiaje? Unadhani uliowaua hawana ndugu, au ndugu zao hawana hisia?

Baada ya kuona machafuko ulishindwa nini kujiuzulu. Kwa nini uko hivyo, umekulia ulimwengu gani wewe hadi unakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
 
Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?
Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki we mama? Mara ngapi tuwaambie hatutaki kuongozwa na wauaji? Hivi wenzetu nyie mmeumbwaje, mna chembe hata kidogo ya huruma nyie?
What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Kwani unatuonaje sisi Watanzania. Kwa nini unakuwa na roho mbaya hivi, hii roho ya chuki na mauaji umeitoa wapi we mama?

Sisi Watanzania na kuuana wapi na wapi? Mbona mnatuletea mambo machafu ambayo hatujayazoea. Hivi hujawahi hata kujutia kwa watu wasio na hatia mliowaua October 29? Mbona unakosa utu we mama. Unahitaji nini kuelewa kuwa wananchi wamewakataa? Mbona ni king'ang'anizi hivi we mwanamke?
Si uachie madaraka? Kwani unasubiri nini, hivi mnajua bado tuna machungu na mambo mliofanya, cha kushangaza bado mnaendelea kuyafanya. Unatutafuta nini?
Wewe una nini kinachofanya ujione una mamlala ya kuua Watanzania vile unavyotaka? Unajua maumivu tunayopitia we shetani? Angeuliwa Wanu au Abduli ungejisikiaje? Unadhani uliowaua hawana ndugu, au ndugu zao hawana hisia? Baada ya kuona machafuko ulishindwa nini kujiuzulu. Kwa nini uko hivyo, umekulia ulimwengu gani wewe hadi unakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
1769592305491.jpg
 
Wewe Samia na wenzako hebu kuweni na utu. Huu ushetani wenu umefikia kiwango cha A+
Hebu kuweni na roho ya ubinadamu hata kidogo tu. Sisi Watanzania tuliwakosea nini mpaka mnatumia ubabe kutuongoza?
Kwa nini hautaki kukiri kuwa ulikosea? Kwa nini hutaki kujiuzulu na huku Watanzania hatukutaki we mama? Mara ngapi tuwaambie hatutaki kuongozwa na wauaji? Hivi wenzetu nyie mmeumbwaje, mna chembe hata kidogo ya huruma nyie?
What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Unatuonaje sisi Watanzania?
Yani kwa nini unakuwa na roho mbaya hivi, hii roho ya chuki na mauaji umeitoa wapi we mama?

Sisi Watanzania na kuuana wapi na wapi? Mbona mnatuletea mambo machafu ambayo hatujayazoea. Hivi hujawahi hata kujutia kwa watu wasio na hatia mliowaua October 29? Mbona unakosa utu we mama. Unahitaji nini kuelewa kuwa wananchi wamekukataa? Mbona ni king'ang'anizi hivi
Si uachie madaraka? Kwani unasubiri nini, hivi mnajua bado tuna machungu na mambo mliofanya, cha kushangaza bado mnaendelea kuyafanya. Unatutafuta nini?
Wewe una nini kinachofanya ujione una mamlaka ya kutuua Watanzania vile unavyotaka? Kwani wewe ndio umetuleta duniani? Hii nchi ni wewe ndio uliiumba? Unajua maumivu tunayopitia we shetani? Angeuliwa Wanu au Abduli ungejisikiaje? Unadhani uliowaua hawana ndugu, au ndugu zao hawana hisia? Baada ya kuona machafuko ulishindwa nini kujiuzulu. Kwa nini uko hivyo, umekulia ulimwengu gani wewe hadi unakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
nchi ziko nyingi ndugu paguro newton
 
Samia hawezi kufanya chochote bila ridhaa ya Watanganyika wenzako.Yeye ni mgeni kwenye nchi ya kigeni. Hiyo nchi yake imevamiwa ataweza kufanya kitu? Ni kwa kuwa amepewa kibali na Watanganyika
 
Kibali gani? Sisi Watanganyika tumempa kibali gani huyu muuaji asiye na haya? Mbona tulimkataa hadharani akaamua kuua ndugu na marafiki zetu? Akajiona yeye ndio anatumiliki kwamba anaweza kutuua tu anavyotaka. Anaona Watanzania kama mifugo
 
What did we do to deserve a murderer like you to be our president? Kwa nini unakuwa muuaji we mama? Unatuonaje sisi Watanzania?
Anatuona Watanzania ni WAJINGA na WAOGA, jambo ambalo ni KWELI 100% yupo sahihi.

Hadi siku tutakapopata ujasiri na kuchukua hatua stahiki, ndipo haya yatamalizika.

Watanzania Akili zetu zimeshindwa kutatua haya, so acha tupate madhara ya Ujinga wetu.

Be a Man, Lawama hazina msaada wowote.
 
Back
Top Bottom