Ruto anamkubalia tu ili wajaze makubaliano ya kuinufaisha Kenya.Kwanza Ruto mwenyewe anawaogopa Gen-Z halafu huyo wa Tanzania anataka kumrudisha kwenye dhahma? Hawezi kushiriki ujingaujinga huo.Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni.
Wananchi hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.
Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.
Wait & see.
Hivi huwa analanduka na bangi au humung'unya kungu pekee?😛😛😛😛Awajulie wapi wakati yeye anajua kubwatuka tu akishalanduka.
Mtiti wa GenZ wa Kenya sio wa karne hii.Ruto anamkubalia tu ili wajaze makubaliano ya kuinufaosha Kenya.Kwanza Ruto mwenyewe anawaogooa Gen-Z halafu huyo Tanzania anataka kumrudisha kwenye dhahma? Hawezi kushiriki ujingaujinga huo.
Kitu cha skanka kinapanda hapoHivi huwa analanduka na bangi au humung'unya kungu pekee?😛😛😛😛
Hivi tangu ajitangaze ameshaenda nchi zipi.Huyu Maza hawezi kuingia Kenya
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.
Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.
Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.
Wait & see.
Hajawahi kutoka nje ya nchiHivi tangu ajitangaze ameshaenda nchi zipi.
Gen Z wa Kenya wamemkondesha Ruto. Check suti ilivyomvaaRuto anamkubalia tu ili wajaze makubaliano ya kuinufaisha Kenya.Kwanza Ruto mwenyewe anawaogopa Gen-Z halafu huyo wa Tanzania anataka kumrudisha kwenye dhahma? Hawezi kushiriki ujingaujinga huo.
Mtu wa Elimu mbali mbali toka Lini akajua KITU?Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.
Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.
Last time GenZ wa kenya walipomshukia Samia alianza kulialia kuwa wanamdhalilisha kwa kumchora akiwa uchi na kwenye jeneza this time lazima azimie, nasikia kiongozi wa ODM amemjibu.
"Mama anasema tuchapwe mikwaju, tutalinda demokrasia ya nchi yetu kama watoto watovu wa adabu".
Baada ya Samia kuharibu taswira yake anamdanganya na Ruto ili wafanane.
Ruto usikubali ushauri huu anataka kukuponza.
Wait & see.