kichwa mbovu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 706
- 504
Yakamkuta[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]sheria ya rushwa ngumu ku prove mkuu
siwezi kukurupuka tupo wawili napiga kelele eti umetaka kunihonga
waziri mzima hana hata camera ofisini kwake?lakini Lukuvi amejaribu
Kanaongea sana haka kasukuma!!Huyu akikutapeli ukimpa hata dakika moja...umeliwaa!!Kwenye ule mdaharo liliwakimbiza watu,jamaa ukilipa nafasi ya kutiririka unakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana bwana yuleKanaongea sana haka kasukuma!!Huyu akikutapeli ukimpa hata dakika moja...umeliwaa!!
ule ni utetezi tu,angeweza hata kusema alitaka kumlawiti,kwa kua walikua wawili tu peke yao,ndio mana mahakama imeutupa ushahidi wa serikaliNi aibu kwa kiongozi wa umma kumpiga roba mfanyabiashara ofisini kwake ili achukue pesa zake.
Aliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.Aliwahi kuwagonga kwa kutumia gari wadada wawili wakiwa kwny bajaji wakafariki wote na akalipa zake faini ya laki 7 tu,akaachiwa huru.
Acha Uzandiki na Unafiki kamanda! Aligonga akiwa njwiiii ulikuwepo!? Acheni chuki za kipumbavu. Chenge hakuhusika na hii ajali Bali alinunua kesi kumnusuru Mke wake. Soma post #157 itakusaidia. UONGO umewajaa mpaka mnatia kinyaa..Ptuuuuuuu.Kabisa ! tena aligonga akiwa njwii kabisa !
Kwani tumeacha kuadhimisha ?Kalaghabaho ubaki na Uzandiki wako.
Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka - JamiiForums
Mwaka huu mnaadhimisha wapi Kitaifa!?Kwani tumeacha kuadhimisha ?
Ni zaidi ya 150 milioniAcha asomeshwe no. tu mkuu,wapanda mwendokasi naonaga wanalalamika humu balaa.
Kwa siku jamaa wanaingiza zaidi ya Tsh. 70mil lkn huduma ni zero.
Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanaomjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake.
Kwenye kesi dhidi ya Idd Simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa.
NA UTASUBIRI SANA.NASUBIRI WA KWANZA
Yaani unauliza askari kama anajua gwaride?!??Hivi raisi wetu anatambua haya?
DuhAliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.
Hiyo issue ilihusika na Wivu wa kimapenzi. Chenge alikuwa anatafuna mmoja wa hao madada waliokuwa kwenye Bajaj. Na siku ya tukio wale madada walikuwa "chimbo" moja mitaa ya Oyster Bay wakijiachia na mheshimiwa Chenge. Mama Chenge aliupata mtonyo na akaenda kuwalia timing sehemu akiwa na wapambe.
Wale wadada walipotoka pale chimbo wakitumia usafiri wa Bajaj mama Chenge aliwafuatilia kwa nyuma...mpaka walipofika maeneo ya pale Morogoro stores/Maisha Club ndipo mama alipopata mwanya na kuitandika ile Bajaj kisawasawa.
Kilichofuata hapo Mzee akanunua kesi na kulipa faini na maisha yakaendelea.
Pumzikeni kwa Amani wahanga wote wa Ajali ile.
Ila ccm inadhalilisha sana polisi !Aliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Harvardda aisee huyu msukuma sijui sheria aliisomea nchi gani maana ni mjanja balaa yaani skendo zote yumo na mnaona kabisa lakini hata pakumuanzia hampaoni alishawajhi kuitwa akahojiwe akakataa wenziew walienda na hakufanywa kitu na bungeni ni MHESHIMIWA MWENYEKITI
Haya mambo mkuu hayana cha CCM wala chama chochote, hata leo hii chama kingine kikiingia madarakani wezi karibu wote wataingia upande wa pili, inshu ni kwamba watu wanatafuta uwepesi wa mambo yao yaende. Hata hawa wanaopiga kelele za uzalendo hakuna cha uzalendo wala nini inshu ni maslahi/kunufaika tu.
Hapo ndipo utajua kweli serikali ya CCM ni ya wanyonge,inayajua yote lkn Chenge yuko mtaani anadunda.Aliyewagonga wale wadada wawili hakuwa Chenge bali alikuwa ni Mke wake. Chenge alinunua kesi ili kumnusuru mamsapu.
Hiyo issue ilihusika na Wivu wa kimapenzi. Chenge alikuwa anatafuna mmoja wa hao madada waliokuwa kwenye Bajaj. Na siku ya tukio wale madada walikuwa "chimbo" moja mitaa ya Oyster Bay wakijiachia na mheshimiwa Chenge. Mama Chenge aliupata mtonyo na akaenda kuwalia timing sehemu akiwa na wapambe.
Wale wadada walipotoka pale chimbo wakitumia usafiri wa Bajaj mama Chenge aliwafuatilia kwa nyuma...mpaka walipofika maeneo ya pale Morogoro stores/Maisha Club ndipo mama alipopata mwanya na kuitandika ile Bajaj kisawasawa.
Kilichofuata hapo Mzee akanunua kesi na kulipa faini na maisha yakaendelea.
Pumzikeni kwa Amani wahanga wote wa Ajali ile.
Hili tukio lilinifanya nimuogope huyu jamaa ROBERT SIMON KISENA, noma sana.Aliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app