Yule msukuma mbunge wa Geita.Hapa ndio umeniacha hoi?
Ocd alifanyeje mkuu had akachezea vitasa je ana watoto mabinti Wa kuoa ili tupoze ukali Wa maishaAliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anaenda Kuua wapinzani wakati Mwenyewe na Chama lake ndiyo wanafuga Mafisadi.
Kajamaa kana umur gan haka mkuuKisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.
Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.
Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.
Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.
Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.
Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
Huyu jamaa hata magu kafyata mkia.Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanao mjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,
Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Hana lolote huyo,ujanja na kujipendekeza ndo,kulimfanya aaminiwe na JK,ni kama Bashite tu.
Kumbe na akili ya shule pia anayokasomea nsumba sekondari na alimaliza elimu ya sekondari ya chini (o level) mwaka 1991 kisha akajiunga na elimu ya sekondari ya juu (A level) mirambo sekondari mwaka huohu lakini hakumaliza. Alipotea shule kwenye mazngra ya kutatanisha na alifanya mtihani wa form 6 pugu sekondar. kwa ufupi ana Akili sana. Na ni mtu mjanja mjanja....
Duh hatariPia katika harakati za uchaguzi mkuu wa 2010 huyu jamaa alimchapa vibao OCD wa Maswa na ajabu RPC badala ya kutoa maamuzi ya jamaa kushtakiwa alishauri ti hilo ni jambo dogo waelewane tuu.
Alikuwa na kajeuri kama ka Makonda vile, ndio style ya CCM inapowalewa vijana wake
Akiwemo na Jamal Malinzi, Shabani Gurumo, Davis Mosha na Saidi Lugumi.
Hahaha jamaa weweOcd alifanyeje mkuu had akachezea vitasa je ana watoto mabinti Wa kuoa ili tupoze ukali Wa maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ana nyotaAlitikisa sana kipindi kile cha 4
sawa lakini kumbuka walifanya haya wakiwa wana CCM tena makada watiifu na bado wanachama hai wa chama letu CCM; sijasikia katibu mkuu akiwafukiza wale wote wenye tuhuma kama hizi.. wanajuana hawa!!Kisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.
Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.
Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.
Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.
Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.
Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
Akipelekwa kwa Wilbard mashauri amekwisha!Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanao mjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,
Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
'Kwa mfanyabiashara mwenye busara, ni lazima atakuwa mwanachama wa ANC'-Jacob Zuma..Kila ukisikia Beberu unaambiwa ni mwanachama mtiifu wa fisiEMU; hapa ndipo unabakia na ????? nyingi sana kichwani, kwani hiki chama kina recruit haya majitu??
Hapana hakumpiga mtama OCD ila katika purukushani alikamatwa na alikala ndani. Nilikuwepo pale Maswa muda wote wa pilika pila zile za uchaguzi zilizopelekea kifo cha dereva mmoja huku Shibuda wa CHADEMA akiibuka mshindi, ushindi ambao ulipatikana baada ya wananchi kusimama imara katika kulinda kura.Aliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu bwana ni tapeli hasa. Maana hata mizizi yake ilianzia kuwatapeli waganda waliokuwa wakifanya biashara na Nyanza kwenye zile Gineries.. Hata zile godown za mafuta pale Mwanza south alifanya utapeli wa mapenzi ndiyo akazipata.Kisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.