balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,700
- 15,436
Akiitwa Milanga. Mwanae Hamis Alison's Nsumba. Binti Yake akiitwa Johari alikuwa kisuKuna yule mwalimu mwingine mhaya alikuwa anakaa pale chini ya uwanja wa pale jirani na chuo cha "Shosho" alikuwa anaitwa nani vile? Kuna wakati alinunua li pickup moja bovu sana likimtesa kila siku kusukuma pale uwanjani yeye na familia yake ili liwake. Kwake alikuwa kila jioni anauza maziwa na vitafunwa. Nasikia yeye na mkewe baadae walifariki.
Aaah aaah. Mkuu umenikumbusha mbali sana. Hamis na huyo dadake sijui wapo wapi kwa sasa? Tulijipitisha sana pale kwao kwa kisingizio cha kupata glass ya maziwa.Akiitwa Milanga. Mwanae Hamis Alison's Nsumba. Binti Yake akiitwa Johari alikuwa kisu
Sent using Jamii Forums mobile app
SwadaktaAlbert ana hela zamani tu, unajua baba ake alishakua boss mkubwa JW? na alikua muagizaji wa vitu Fulani hivi.....
MTC | 101| [emoji769]
Wakumkamata wapo ila wa kumfungulia mashtaka ndio HAKUNA.chenge nyoka mwenye makengeza ulishawahi kumuona ? ndiyo huyo baba kila skendo yumo tena zile kubwa lakini hakamatiki ni mjanja sana kwenye mikataba yake anakuwemo lakini hakuna pa kumkamatia
Akiwemo na Jamal Malinzi, Shabani Gurumo, Davis Mosha na Saidi Lugumi.
Hahahahaaa... Nmecheka sanaaaa.... Ulipanda wapi UDA ukasumbuliwa?Kumbe ni tapeli mwenye PhD na hyo UDA inavosumbua wananchi bora afungwe tu kwa utapeli wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
I mean mwendokasiHahahahaaa... Nmecheka sanaaaa.... Ulipanda wapi UDA ukasumbuliwa?
Hapo endeleza mkuuNi msukuma kwa kabila , taarifa zinaonyesha kwamba alijipatia utajiri kwa kukwapua utajiri wa John Cheyo baada ya kupewa kusimamia biashara zake wakati cheyo alipobanwa na sheria alipogombea Urais 1995 , alimjuaje Cheyo hiyo ni hadithi nyingine
OooAmong the top wa JK family deal makers. Hao walikua ndiyo economic backbone (Chuma ulete) wa JK Family.
Kumbe hahaAliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
BarafuKisena jamaa tapeli sana huyu bwana mdogo.Aliichukua ile Nyanza na NewEra Ginnery.Ameibia sana wakulima wa Pamba kuanzia Meatu huko mpaka Maswa.
Ni tapeli ambaye anakudhurumu,ukimfuata unaweza mpiga kwa blabla zake...ukimpiga anajifuta anasema basi tumeshamalizana.Kajamaa fulani kasanii sana,na kwa kweli kalikuwa hakagusiki.
Mara ya mwisho alikuwa akikaa Flat moja hivi pale Upanga,nilionana naye last time 2014 nikiwa Tz.Utapeli wake mpaka kwa Wamama wenye hela,kawaliza sana.
Uchaguzi Mkuu 2010 alienda na mtoto wa Rais mmoja mstaafu kwenye kura za maoni jimbo la Maswa kwa Shibuda,akashinda kwa nguvu kura za maoni.Huyu ndio alifanya Shibuda apigwe chini 2010 na akahamia CHADEMA akapewa jimbo.Kosa lake Shibuda ni kutangaza nia ya kugombea Urais 2010,wenye chama wakamuwekea Kisena.
Alimtapeli Muhindi wa Eicha na Tata alipoziingiza kwenye daladala za UDA.Huyu ndio anaivuruga UDART mpaka sasa haieleweki.Kifupi haka ni kahuni fulani kalikoharibu sana sekta ya pamba na Usafiri wa UDA.
Kwa hili,mimi nipo nyuma ya Amri Jeshi Mkuu John Joseph Pombe Magufuli.Hawa kina Kisena wameiba sana.
Baadaye alikutana na Juma Kapuya mmoja wa wanahisa walionunua UDA , Akawekwa kama mpambe waoHapo endeleza mkuu
Hivi raisi wetu anatambua haya?
MaskHuyu ni kijana anayezungusha fedha za jk
yupo nyuma ya nondo bado?Mask
Jamaa yupo wapi kwasasa?Aliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara mwishoalikuwa jela anankesi kama 9 hivi....yeye na maxmalipo ingawa namuona macmalipo ametoka .....sina uhakika Kisena kama yupo jela ama laJamaa yupo wapi kwasasa?
Kama mwenzake katoka inawezekana na yeye yupo uraiani.Mara mwishoalikuwa jela anankesi kama 9 hivi....yeye na maxmalipo ingawa namuona macmalipo ametoka .....sina uhakika Kisena kama yupo jela ama la
Yeye alikuwa nazo 9.....Kama mwenzake katoka inawezekana na yeye yupo uraiani.