Hivi Robert Kisena ni nani?

Uko sahihi Kabisa Mkuu
MTC | 101| [emoji769]
 
Alikua ana mpunga kama aliokua nao baada ya kumuia mtoto wa JK mkuu?

Ndio maana nikaandika alikua na mpunga wa kawaida.
 
Ni swala tano Sana ,mkimya na mpole mno
MTC | 101| [emoji769]
 
Asante sana mkuu kwa kuweka sawa taarifa. Hawa vijana wamemjua Albert juzi wanakuja kupotosha humu JF na kuandika habari za UONGO. Eti aliokotwa na Mzee Kiaro vitani uganda! Wakati ni mtoto wa Meja Kiaro aliyezaa na mganda.
Ana maghorofa kitambo tu hapa mjini. Ndio maana nikashangaa jamaa mng'ato anavyohorojoka Eti amepata hela juzi enzi za JK.
 
Alikua ana kabla ya kua na salama ,mpunga wa maana tu

Alikua ana mpunga kama aliokua nao baada ya kumuia mtoto wa JK mkuu?

Ndio maana nikaandika alikua na mpunga wa kawaida.

MTC | 101| [emoji769]
 
Alikua ana kabla ya kua na salama ,mpunga wa maana tu



MTC | 101| [emoji769]
Aisee kwa mipunga hapa town alikua ni msela mwenye mpunga wa kawaida na wala hakua alwatani wa kiasi hicho kama baada ya ma deal kunoga mixer na za escrow ikawa ni balaa zaidi.
 
Aisee itakua alikua tajiri kweli baada ya kuanza kuuziana na mbowe mafuta ya 'taa' kwny ile petrol station,hahah.
 
Hahahaha, namjua Albert alikua Don Mkuu ,yy ndio alikua muagizaji na mnunuzi wa ......uzuri nimekua na salama na Riz ,so namjua huyo mchizi Kitambo

Hizi dili zingine za hela zimekuja baadae
Aisee kwa mipunga hapa town alikua ni msela mwenye mpunga wa kawaida na wala hakua alwatani wa kiasi hicho kama baada ya ma deal kunoga mixer na za escrow ikawa ni balaa zaidi.

MTC | 101| [emoji769]
 
Anafanya mambo kimya Kimya ,ni don kitambo Sana

MTC | 101| [emoji769]
Namfahamu jamaa kitambo mkuu. Alikuwa mtu low key sana na hapendi makuu. Ndio maana nashangaa hawa vijana wa vijiweni wanapokuja humu na kupotosha watu kuhusu Albert.
 
Mmoja wa watu ambao walichangia fedha Mzee K za uchaguzi na yuko na Mzee K toka yuko mambo ya nje

Na ndio maana alipopeleka posa Mzee K alikataa ,ikabidi zipelekwe bagamoyo

Na yule Sheikh mtabiri ikabidi ajipe kazi kumuomba Mzee K
Namfahamu jamaa kitambo mkuu. Alikuwa mtu low key sana na hapendi makuu. Ndio maana nashangaa hawa vijana wa vijiweni wanapokuja humu na kupotosha watu kuhusu Albert.

MTC | 101| [emoji769]
 
Hahahaha

Kawaida tu Mkuu, ni kuelimishana tu
MTC | 101| [emoji769]
 
Nafikiri jambo kubwa lililopelekea Mzee K kukataa posa ni kutokana alimchukulia Albert kama kijana wake na mtu ambaye alimuamini katika shughuli zake kitambo. Albert ni mpambanaji na very Loyal. Ndio maana aliweza kufanikiwa katika umri mdogo na alikuwa anafanya biashara kubwa wakati huo kwa umri wake. Jamaa ni kichwa.
Ila Dr. Salama ni mke kaka. Unamjua umekua nae huyo binti na tabia zake. Nafikiri Albert anampenda kwa dhati huyo binti. Ukiwakuta pamoja huwa wana furaha genuine kutoka moyoni.
 
Yes Albert ni kichwa ,Dr na Albert wanapenda sana sana, na Dr ana Roho nzuri mno toka shule primary mpk secondary

Alishtuka sana kujua Dr anaposwa na Albert ,na illkua ngumu mno hii kitu. Unajua Mzee K ilimsumbua sana ,na mbaya Dr akapata kitumbo ,hapo ndio ikawa doh ...but inshalaah mwisho wa siku mambo yako poa ,wana enjoy life UK huko

Ahsante, niwaache muendelee na nyuzi khs Kisena
MTC | 101| [emoji769]
 
Pamoja sana mkuu. Allah atufanyie wepesi waja wake tuwe na mwisho mwema.
Mimi nilikuwa mpitaji tu katika huu Uzi mkuu. Ila nilipoona upotoshaji nikachangia ili kuweka taarifa sawa kuhusu Albert kwa sababu ni mtu tunafahamiana kitambo sana na kina Salum wote.
 
Hahahaha, nami nilipita kuchangia kdg kuweka Sawa, siku njema Mkuu

MTC | 101| [emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…