mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Si mlidai CDM ni chama cha wachaga?? Mengi ni mchaga, sasa sijui unalalamika nini?? Waachieni wachaga wajenge chama chao........................!!
Shida yako kubwa ni Chadema kupewa Air time I.T.V hakuna kingine na kwasababu litbc linainyima nafasiw cdm basi ulitaka iwe hivyo na kwa I.T.V jambo ambalo haliwezekani kwasababu si chombo cha ccm kama ilivyo kwa Tbc na startv
BACK TANGANYIKA
ninachojua kama sio kuhisi, sabodo na waasia wenzake wanawasiwasi siku wapinzani wakiingia madarakani wanaweza kuanza na wao kwa kuliibia taifa hili kwa miaka mingi. kwa hiyo wanachofanya ni kujaribu angalau kujipendekeza kwa wapinzani ili likitokea la kutokea wao angalau na pakujishikiza.
mrema wakati anagombea urais 1995 aliapa kuwashughulikia wezi wote bila shaka akiwepo chavda aliyemfukuzisha uwaziri. mchungaji mtikila yeye hana simile kabisa kwani huwaita magabachori.
...we kichwa maji kweli,hebu leta tathmini ya tbc1,tbc2,tbc taifa na tbc fm,habari leo na dailynewz jinsi vyombo vyote hivyo vilivyo jivika koti la ccm,kisha ndo uinyooshee kidole itv...
Tanzania ukishakuwa Tajiri lazima uwe CCM ili uendelee kuwa Tajiri sasa hamia sijui chadema kama hujala jeuri yako.

Hizi ni swagger za MMU. Halafu kama we ni me hizi swags sio zako mkuu!Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jiulize kwann cdm inapotea?mchawi......
Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.
Mengi ni nani?
Mtu mmoja anawezaje kuumiza watu vichwa?
Aingie tu chama chochote hata cha wala gongo haina shida.
Ccm ni ngumu sana kuitoa madarakani.
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
MTEI alizindua kitabu chake kwenye HOTEL ya MTEI. unapokuwa muongo kupata aibu ni rahisi sana.Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Mbona hueleweki! ulitaka azindulie chumbani kwa mama yako?Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Hili si swali la kuuliza wakati unajua kabisa Chadema ni NGO ya wachanga.
MSALANI polepole ndugu yangu.Umetumia maneno makali lakini jiulize wakubwa wako wanawekeza wapi pesa zao?Utakuja shangaa ukigundua kuwa Mengi si mwepesi kama unavyodhania kwani si ajabu pesa za wakubwa wako ziko huko.Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.