Kumbe wewe ni ccm hamna tatizo ila ccm, cdm, tusio na vyama wote tuwe wakweli. Wote ni Watanzania.
Mkuu mi cjawahi Kuwa mwanachama wa Chama chochote Ila nasamaga mambo ya TANU na falsafa za mwalimu Nyerere zinanivutia sana loh
Chikichi chikichi weeeeanaburudani sana, sasa hivi viongozi wengi matamko yao yanaumiza, angalau huyu amegeuka burudani...napenda kile kipande chake cha (chikichii chikichiii)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa.Hajaanza Leo sema kwa sasa social media zimekua,,,nakumbuka way back akiwa N/wazir tamisemi alikua the same same
😀😀nadhani ni aina tu ya uwasilishaji wake na hiyo itasaidia watu wake kumuelewa zaidi anavyowasilisha siliasi halafu na utani kidogo japo mda mwingine anawaka mno.Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
😀😀nadhani ni aina tu ya uwasilishaji wake na hiyo itasaidia watu wake kumuelewa zaidi anavyowasilisha siliasi halafu na utani kidogo japo mda mwingine anawaka mno.
HahahahaWewe nawe! Mtu hata akijinyea mradi katoka ccm utasema hiyo ni bekari ya kufyatua keki! Kwako ni kusifu tuu
Ni mmoja wa Watanzania wenye akili sana. Asilimia kubwa sana kila siku wanapiga kelele hapa kuhusu vyama. Sio maslahi ya Taifa.
Watu wako tayari Wauze nchi ili kuwakomoa ndugu zao (ila wanaitwa wapinzani, ccm cdm.)
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.
Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.
Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!
Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
Vyama vya siasa vimewapa watu upofu kabisa yani wengine hawawazi kuleta meandeleo ni kubaki tu madarakani, nguvu nyingi inatumika kupambana na upinzani, ka taifa inabidi kuwe na agenda ya kitaifa isiyo jali Chama au kabila tuwe kitu kimoja. Siku hizi uzalendo ni ndio mzee.
Tukitaka kupiga hatua tuweke masilahi ya taifa kwanza vyama baadae
Tatizo hata sio mfumo wa wazungu ni uzembe wetu wenyewe na kukosa vipaumbele ka taifa. Pia ubinafsi wa viongozi hawa fikirii kesho ya vizazi vijavyo wao ni siasa chafu tu kwa kwenda mbele.Umemaliza.
ila tunawekaje maslahi kwanza bila kufuta mfumo wa wazungu. Tutafute mfumo ambao tunashirikiana na kuwakilisha nchi yote,sehemu zote.
Inawezekana kuwa na wakilishi kutoka kila sehemu, kaskazini, kusini, mashariki magharibi, kuangalia maslahi ya kila mtu ila kwa akili zetu kila kitu lazima tufuate vitu vilivyowekwa na wakoloni.
Uwezo wetu ni kupanga vitu vyetu wenyewe flesh bado mdogo sana.
Pia wa akili zetu ukiongea ninavyoongea kila mtu anakuchukia, eti lazima uwe ccm au cdm kuonekana ni mzalendo.
Siku zote tutapata viongozi wanaotuburudha siku zote. Kwa sababu ndio tunaowapenda, hata kama hatujui, ukimpata kiongozi mzuri unajaribu kumtoa bila sababu za msingi. Chuki binafsi.
Ila lazima wenye akili, watudhibiti (kucontrol) hadi tutakapopopata akili. Hakuna mbadala, hakuna namna, njia nyingine.
Tatizo hata sio mfumo wa wazungu ni uzembe wetu wenyewe na kukosa vipaumbele ka taifa. Pia ubinafsi wa viongozi hawa fikirii kesho ya vizazi vijavyo wao ni siasa chafu tu kwa kwenda mbele.
Ili tupige hatua inabidi tukae chini ka taifa na tujadeal ni mifumo ipi tutaitumia Ili kujikwamua na umaskini na kuongeza utendaji kazi. Ka nchi tulizolingana nazo umaskini waliweza kwanini sisi tushindwe kupiga hatua ya kuondoa huo umaskini had tuwe donor country. Siku tukipata kiongozi mwenye maono mapana tutapiga hatua Ila huu ushabiki wa kisiasa hatufiki
Mbona umeuliza na kutoa jibu hapo hapo? Katika hii awamu hao ndio wanaotakiwa...waliofyatuka! Hivyo ndivyo alivyowahi kutamka "BWANA YULE" kwamba ni kichaa na sifa kubwa anayoitaka anapoteua ni hiyo, wawe vichaa kama yeye. Sasa ikitokea kwamba alifanya makosa alipokuteuwa kwani hukuwa kichaa lazima sasa uoneshe kuwa na wewe umo.Hivi RC Agrey Mwanri zimefyatuka?...
...Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
ANADHANI - anazani!Mkuu siku nyingine usiulize majibu uliza swali. Mchaga kachanganyikiwa kuona clip zake mitandaoni anazani watu wanafurahia kumbe wanapunguza stress za Magu.