Ndugu wanajamvi ni karibia siku 2 sasa kitaa hakuna umeme so mambo mengi nahisi yamenipita hasa ktk ulimwengu wa habari.
Hilo sio lengo la mimi kupost ila dhima kuu ni kuuliza ni kweli raisi Robert Mugabe amefariki?maana nimekaa kwenye daladala naenda kwenye mishe ndio kuangalia abiria mwenzangu anasoma gazeti kuna heading kuubwa "mazishi ya Mugabe yatikisa" huku pembeni kuna picha yake!
nimeshtuka ila sina update zozote,naombeni mnifafanulie kama ni kweli.
atakufa leo au kesho kama aaron Ramsey wa arsenal fc akifunga goli leo dhidi ya ac milan..Hajafa, labda anakaribia kufa..!
hata ikitokea atakatazwa na bro kameruniKwani baba Mwanaasha amesafiri kwenda kwenye maziko?
Hajafa, labda anakaribia kufa..!
Kwani baba Mwanaasha amesafiri kwenda kwenye maziko?
yaani mkuu umeweza ku-access jf ila umeshindwa kusearch habari za kimataifa kuhusu nguli kama huyo......tupende kuumiza vichwa kidogo jamani, ingekuwa kiongozi wa tz sawa maana bila vyombo vya habari vya bongo kutangaza huwezipata habari kwingine..ila kwa mugabe.......tafuta bana.