Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 3,620
- 3,002
😀 😀 😀nifosieni ata afu tatu ya kula na mie kwenye huo mgawoChini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.
Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
😀 😀 😀nifosieni ata afu tatu ya kula na mie kwenye huo mgawo
Kazk na utu comments fupi fupiChini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.
Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Mama anatisha balaaaChini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.
Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
mama Samia ni mpambanaji kwa asiliChini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.
Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Acheni blah blah lipeni madeni wakandarasi hizi blah blah haziwasandii chochote kuja mitandaoni kupiga porojo Rais kuna mazuri mengi amefanya kama kujenga shule za secondary na mengineMchongo gani ndg yangu
bla bla bla ni hizi zakoAcheni blah blah lipeni madeni wakandarasi hizi blah blah haziwasandii chochote kuja mitandaoni kupiga porojo Rais kuna mazuri mengi amefanya kama kujenga shule za secondary na mengine
hakuna asiyekopa hata baba kakopa pia.KWELI amewezaje deni lake kufika TRILLION 107 💩💩💩
DENI LINAJULIKANANadhani ungeongelea na upande wa madeni, kwasasa deni la taifa ni over 112 Trilioni.
Zipo wapi hizo amana Mkuu? 🤣🤣 Fake statistics bakini nazo huko kwnye makaratasi ila wananchi wakisha kukataa hata uwape nini hutoboi 🤣🤣Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.
Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
benki ndio inatunza amanaZipo wapi hizo amana Mkuu? 🤣🤣 Fake statistics bakini nazo huko kwnye makaratasi ila wananchi wakisha kukataa hata uwape nini hutoboi 🤣🤣
Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.
Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Ufafanuzi kidogo kama hutojaliChini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,
Tuulizane mama amewezaje yote haya?
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana za Seiikali kilifikia jumla ya TZS 24Trilioni kwa mwaka 2020.
Mwaka 2024 kiasi hicho cha amana kiliongezeka na kufikia TZS40Trilioni kwa fedha za ndani na fedha za kigeni,Wakati pamoja na amana za serikali kiasi hiki kilifikia TZS42Trilioni, Hivyo chini ya Rais Samia amana ziliongezeka kwa TZS18Trilioni sawa na 75%.Hiki ni kiashiria kuwa Watanzania wana pesa za kula na kusaza na kuweka kwenye akaunti zao za amana
Hii mipasho yako inajaza servers za JF bure kaandike kwenye magazeti ya Uhuru media.Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni,