Swat ni nn?Kumbe Tanzania Kuna S.W.A.T duuh
(Special weapons and tactics) teamSwat ni nn?
kuna mahali tumebishana kidogo kutoana meno, waking'ang'ania ni TISS1. Kwanza Kuna yule amevaa Sare ya JWTZ = Mpambe wa Raisi, kawaida kutoka JWTZ
2. Kuna hawa wanavaaga SUTI huwa hawana silaha zinazoonekana = TISS kikosi cha ulinzi wa Raisi (bodyguards)
3. Kuna hawa wengine wana silaha kubwa sana sijawahi ona silaha ya vile uniforms zao zina mabaka madogo madogo = with love from Rwanda
4. Kuna hawa wengine wamevaa uniforms za kama polisi FFU = Polisi kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
5 Wa mwisho ni hawa askari wa kawaida tunakimbizana nao kila siku mtaani wanavaa kofia nyekundu kichwani = FFU Kikosi cha ulinzi wa Raisi na kudhibiti umati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeona kama mimi kumbe.Hahaha eti kuna mmoja kavaa nembo ya SWAT.
Kumbe Tanzania Kuna S.W.A.T duuh
sio Matango pori ni ukweli mtupu, imeshajadiliwa na hata MTAZAMO ulishaiweka hapa Ulinzi wa Rais Magufuli ni wa hali ya juuTISS wana vitengo vingi kama Polisi, wale wenye sare za mabaka madogo ni moja ya vitengo maalum ndani ya TISS na pia wale wenye sare za FFU ni moja ya vitengo maalum ndani ya FFU.
Wote wamepitia mafunzo maalum ya kikomandoo na mambo ya ulinzi kwa viongozi maalum V.I.P. Ukikutana na FFU kitengo maalum hata bila kuambiwa utajua si askari wa kawaida na hawa hawatumiki kwenye operations za kutuliza ghasia n.k labda matukio yaliyoshindikana.
Baadhi ya maelezo yalitolewa kwenye sherehe za uhuru kama sikosei zilizofanyika dodoma. Issue ya askari kutoka Rwanda ni uzushi a.k.a matango pori.
Sent using Jamii Forums mobile app