Hivi pesa inapatikana wapi?

Nilikuwa nadharau biashara ya stationery kumbe Inatoa pesa nyingi
 
Hukoseagi mzee
 
Nimeenda migodini nimepiga veni na kanyero za kutosha sijapata pesa

Nimeingia porini kata miti na mbao sikupata pesa

Nimesoma hadi chuo pia olaa

Biashara ya uwakala, mitumba, viatu, viwanja, nyumba kote sijapata pesa

Oya pesa inapatina wapi mazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…