Hivi nyie wanaume mkoje?

Hivi nyie wanaume mkoje?

Wengi hawataki kwenda lakini nauli wanaomba. Wanaomba kwa kila mwanaume. Mwisho source of income inakuwa kuomba nauli.
Sijamuomba mtu nauli ili msizani hatuna watu wakutushushia haja bali tunataka mtu sahihii.
Umuite mume ndio maana tunahangaika kila mahali ma sio kujirahisisha.
 
Sema umetaka utumiwe nauli jamaa amechomoa mpaka ufike atakulipa.......hizo nyingine mbwembwe!
Hivi unadhani watu humu masikini mpaka waombe 30 ni ndogo hiyo sanaa hununui hata pedi.
Wewe sema laki mbili nakuendelea nauli ya kigoma na bukoba ila vijisehemu kama Mwanza,Dar es salaam hata yule wa buku mbili anaweza mudu nauli huyo mtu hajashindwa tuma anauwezo usidhani anavibuku buku kama vyako.
 
Mpaka akuite ina maana kuna vitu ushampa 'Green Light'.

Invoice yako ya nauli ameikataa, kairudisha utume upya wewe umeanzisha thread.
 
Mavi matupu. kwa uzi na comment zako, wewe ni standard 04 (a). Mabeki tatu mkijua kubofya smart4n hatupumui.
 
Na mara nyingi mdada ukisafirishwa kutoka mkoani ukashukia ubungo unaweza kujikuta unaishi hapo ubungo stand hata wiki 2 maana mwenyeji wako kabla hajakupokea kwanza anakupigia simu anakutazama kwa mbali, usipokidhi matarajio yake kimuonekano(hasa ukiwa flat screen) anazima simu anakupotezea na huna nauli kutoka ubungo kurudi kwenu Burigi.
Ziwa Burigi Mbali sana bwasheee...........ahahahahahah wale Samaki wa miiba wale
 
Na mara nyingi mdada ukisafirishwa kutoka mkoani ukashukia ubungo unaweza kujikuta unaishi hapo ubungo stand hata wiki 2 maana mwenyeji wako kabla hajakupokea kwanza anakupigia simu anakutazama kwa mbali, usipokidhi matarajio yake kimuonekano(hasa ukiwa flat screen) anazima simu anakupotezea na huna nauli kutoka ubungo kurudi kwenu Burigi.
😁😂🤣🤣🤣🤣ndio hicho naogopa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom