Inaelekea unajua sana humu umeolewa hivi tuanzie hapo .
Kwa maana inaelekea unajua sana kila uzi unajua mwisho wake very nice.
Je una mume??
Je unawatoto napenda unijibu joana .
si ndo lugha ya taifa by now ngw'anike....sasa mimi nataka nikufuate naruhusiwa au?Mbona umemaliza kikwenu sio powa
Acha unafiki wewe uende mbinguni .Easy MysweetL ......
Sijajua unaniwakia sababu ipi,kila uzi najua mwisho wake kwa lipi?hiyo comment yangu inaonesha kujua mwisho wa kitu gani?
Wewe suala la kumfata aliyekwambia umfuate linahusiana vipi na mimi kuwa na mume ama watoto?stress zako mpelekee aliyekuletea tafadhali
Acha unafiki wewe ndio nimemaliza
Ushaomba nauli umetumiwa sasa kwenda imekua tabu had unafungua uziWeweee mwanaume tumejuana mitandaoni halafu unamadai nifunge safari nije kukuona.
Sijawahi hata kukuona kwa machooo.
Hii nikali sana .
Je ukiwa mchunaji ngozi,muuza viungo vya watu,muuza wadada wa watu , muuaji,...
Nakama unania nzuri mbona wewe hutaki kuja kumuona msichana??
Watu wengine sio maboya eti jua hilooo.
Jua hilooo.
Wengine akili zinasoma sio mabox
Vizuri wewe ni mtu ambaye ukiacha kuishi hivyo utapendwa na wengi sana.Haya asante kwa kunikumbusha
Naacha kuanzia sasa
Vizuri wewe ni mtu ambaye ukiacha kuishi hivyo utapendwa na wengi sana.
Weweee kinakuuma nini??Ushaomba nauli umetumiwa sasa kwenda imekua tabu had unafungua uzi
Eh mwaya nasema ukweli eti weweeππππππ loh!
Nimekuelewa,naacha!!
Na mara nyingi mdada ukisafirishwa kutoka mkoani ukashukia ubungo unaweza kujikuta unaishi hapo ubungo stand hata wiki 2 maana mwenyeji wako kabla hajakupokea kwanza anakupigia simu anakutazama kwa mbali, usipokidhi matarajio yake kimuonekano(hasa ukiwa flat screen) anazima simu anakupotezea na huna nauli kutoka ubungo kurudi Burigi.
Anakusaidia tu na wewe uone unaishi..πMbona mi unanipenda tu na ni flat screen jamanii
Mimi sio mkatili kama wanaume wa DarMbona mi unanipenda tu na ni flat screen jamanii
popote ulipo agiza belaire nakuja kulipaKwani na wasichana huwa wanatuma nauli siku hizi???
πππππpopote ulipo agiza belaire nakuja kulipa
Nimewasha Hotspot, hebu connect WiFi uko ulipoKwani akikufuata ndio atashindwa kukuchuna hiyo ngozi?
Unadai haujawahi kumuona, sasa utamuonaje ikiwa hautaki kuonana nae?