Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Pisi kali inversely proportional to akili kumkichwa!
Mimi wa menopause naingia kwenye ratiba ipi hapo?Kwani ratiba yako Ni tofauti kidogo?
Mna kisirani nyie, duh.....Mimi wa menopause naingia kwenye ratiba ipi hapo?
Wakoje mkuuAfu kuna wale wembamba wenye vimaziwa vidogo ....
Sijui nani aliwaroga
Haha hahah haaJacqueline Pisi Kali hebu njoo ujibu mashitaka huku wewe Kama mwenyekiti wao
Wee unaipenda ipi, ambayo ukifanya unaona ni tabia nzuri?Tabia mbaya tu🙁
MI sifanyagi tabia mbaya mimiWee unaipenda ipi, ambayo ukifanya unaona ni tabia nzuri?
Nifundishe basi kufanya tabia nzuri, tuwe tunafanya wote. Maana mi nikifanya tabia mbaya, na wewe ukafanya tabia nzuri tunakuwa hatufanyiani. Ili tufanyane ni lazima twende sawaMI sifanyagi tabia mbaya mimi