Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Wakati naanza uhusiano na Mr nilikua siwezi kabisa kumuomba hela, nilikua namuonea huruma ndiyo kwanza kaanza maisha halafu nianze kumuomba omba hela.

Ila kwa sasa nikijisikia kumuomba namuomba vizuri tu na hata sijisikii vibaya.
 
Hapana hata siwezi kuipokea, analipia nini? Na mimi nauza nini?
[emoji6][emoji6][emoji6]
Rafiki umeanza yale maswali ya mahakamani sasa!.....umeuliza hilo swali ili nikijibu kuwa analipia utamu unijibu kuwa hata wewe unapata utamu pia![emoji53][emoji53][emoji53]......Naomba nijitoe kwenye hii kesi kwa sababu unaonekana una msimamo mkali kama msimamo wa CCCM kubakia madarakani!
 
Nilikuuliza lakini. ...ninunue kesi au tupotezee juu kwa juu....
Hiya kumi ikitoka kwako nitapokea. ...usiulize kwanini?[emoji6][emoji6][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Rafiki usiku mwema na Mungu akubariki sana![emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kuna hii mentality kwamba mademu wengi wanapenda pesa. Ila mi nimekuwa nikipata shida sana kuelewa hichi kitu.

Nilitaka kujua kwa wanawake ili useme jamaa yangu ana pesa ni kwamba anatakiwa awe na pesa kiasi gani?

Unakuta kwa mfano kuna demu tu wa uswazi ukiwa kila siku unampa vocha ya 1000 halafu kila mwisho wa wiki unampa labda 20000 kimahesabu hapo ni kama ki 150k kwa mwezi na demu anaweza kukuona huyu jamaa yangu ana pesa kinoma.

Upande mngine unakuta demu wa corporate world ama wa chuoni akishamuona mshikaji ana kagari cha 10M halafu kila mwisho wa week wanakula bata hata za 100 plus vi mzinga vya 50k 70k .. Hapo anaamini mshikaji ana pesa.

Wakati deep down, hayo mambo mtu mwenye kipato cha 3M anaweza kuyafanya hayo yote na akati mtu mwenye uwezo qa 3M kwa mwezi ni mtu wa kawaida tu.

Swali: Ni kwanini wanawake mnakuwa cheap sana? Mnaangalia material things halafu material things zenyewe ni hivo vi elfu sabini hamsini..

Mjumbe hauawi.. Jiwe limetua ikulu.. Kama nakuona wewe demu unajiandaa kudanga kwa jamaa yako mwenye pesa.. Pesa yenyewe sh ngapi kwanza?
Umeonyesha bila shaka kwamba kila mtu na kiwango chake.
Kuna sehemu laki moja ni fortune. Mtaji wa mtu kafanya shughuli zake. Sehemu nyingine laki hiyo hiyo si pesa. Haitoshi chochote.
 
Mimi huwa napenda kwanza sipendi kuomba ombaga vtu hyo ni principle yangu na sipendi kutamani kupokea kitu kwa.mtu
Kama kweli hupendi kupokea kutoka kwa mpenzi wako na wewe ni mwanamke.
Niruhusu niseme wewe una kasoro ....samahani lkn kama nmesema vibaya. Saikolojia inahukumu
 
Ndio siombi hela nimeishi maisha yangu bila kumtegemea huyo mwanaume, pia sijaolewa ukiwa mwanaume unsjiongeza hii itakusaidia hapa na pale ka hutoi sikuombi kwangu naona umalaya flani, hebu nambie hyo kasoro yangu nijijue ila kuomba omba sio kwa mpenzi tu huwa cpendi kabisa.
 
Kuna hii mentality kwamba mademu wengi wanapenda pesa. Ila mi nimekuwa nikipata shida sana kuelewa hichi kitu.

Nilitaka kujua kwa wanawake ili useme jamaa yangu ana pesa ni kwamba anatakiwa awe na pesa kiasi gani?

Unakuta kwa mfano kuna demu tu wa uswazi ukiwa kila siku unampa vocha ya 1000 halafu kila mwisho wa wiki unampa labda 20000 kimahesabu hapo ni kama ki 150k kwa mwezi na demu anaweza kukuona huyu jamaa yangu ana pesa kinoma.

Upande mngine unakuta demu wa corporate world ama wa chuoni akishamuona mshikaji ana kagari cha 10M halafu kila mwisho wa week wanakula bata hata za 100 plus vi mzinga vya 50k 70k .. Hapo anaamini mshikaji ana pesa.

Wakati deep down, hayo mambo mtu mwenye kipato cha 3M anaweza kuyafanya hayo yote na akati mtu mwenye uwezo qa 3M kwa mwezi ni mtu wa kawaida tu.

Swali: Ni kwanini wanawake mnakuwa cheap sana? Mnaangalia material things halafu material things zenyewe ni hivo vi elfu sabini hamsini..

Mjumbe hauawi.. Jiwe limetua ikulu.. Kama nakuona wewe demu unajiandaa kudanga kwa jamaa yako mwenye pesa.. Pesa yenyewe sh ngapi kwanza?

Hii uchangiwa saaana na malezi "Mtoto umleavyo, Ndiyo akuhavyo " unakuta mzazi anafurahia kupata mtoto wa kike kwa kuamini atapata pesa/ mali kwa kumuoza na hiyo mentality anamrithisha binti yake... unategemea nini kwa huyo binti unapo kutana naye?
Pia hali duni ya Maisha inachangia kwa walio wengi, mabinti wengi majini wanaishi na kusaidia family zao kwa "kudanga "
 
Mi sikatai mwanamke kuomba omba hela ila ninacho mind ni kwamba naona kama wanawake wengi madai yao ya pesa yana mtizamo wa umasikini.

Unakuta mwanamke anaomba hela ya vocha, mara elfu 20000 ya saluni Really? Kwanini mizinga isiwe kwenye vitu vya msingi?

Kwanini utume hela ya kuomba vocha? Kwanini usimuambie man wako akufungulie genge upate hiyo hela ya vocha na saluni?
Weee bwana weee tutafungulia biashara wangapi? Ebu usiharibu haka ka utaratibu ka post paid kanasave sana 20k at the best.
 
Back
Top Bottom