Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Kuna hii mentality kwamba mademu wengi wanapenda pesa. Ila mi nimekuwa nikipata shida sana kuelewa hichi kitu.

Nilitaka kujua kwa wanawake ili useme jamaa yangu ana pesa ni kwamba anatakiwa awe na pesa kiasi gani?

Unakuta kwa mfano kuna demu tu wa uswazi ukiwa kila siku unampa vocha ya 1000 halafu kila mwisho wa wiki unampa labda 20000 kimahesabu hapo ni kama ki 150k kwa mwezi na demu anaweza kukuona huyu jamaa yangu ana pesa kinoma.

Upande mngine unakuta demu wa corporate world ama wa chuoni akishamuona mshikaji ana kagari cha 10M halafu kila mwisho wa week wanakula bata hata za 100 plus vi mzinga vya 50k 70k .. Hapo anaamini mshikaji ana pesa.

Wakati deep down, hayo mambo mtu mwenye kipato cha 3M anaweza kuyafanya hayo yote na akati mtu mwenye uwezo qa 3M kwa mwezi ni mtu wa kawaida tu.

Swali: Ni kwanini wanawake mnakuwa cheap sana? Mnaangalia material things halafu material things zenyewe ni hivo vi elfu sabini hamsini..

Mjumbe hauawi.. Jiwe limetua ikulu.. Kama nakuona wewe demu unajiandaa kudanga kwa jamaa yako mwenye pesa.. Pesa yenyewe sh ngapi kwanza?

Tatizo tusipoomba wanaume hamjui kujiongeza na hapo unaona kabisa babe anauhitaj lakin wala hujishughulishi ...........
Inshort wacha tuendeleee kupiga vizinga na wala hatuachi kuomba hela hata mseme tunauza ndio tunaendelea na kuuuza !!!!! Binafsi nakuchora kama mwezi au miwil kama mtu ni mstaarabu hivi afu naropoka tu babe nashida na laki 5 au 8 sura kavuu ,hapo utajijua mwenyew kama hata papuch ulishaomba au bado hilo mimi halinihusu as long as umeanzisha mawasiliano kwa madai unanipenda lazima pochi ihusike.
 
Nliwai kua na Mtt wa mkurugenzi wa jiji moj uko nyanda za juu ,, yani ata huruma hamna vizinga 20k 30k anaona kawaida sn yupo Chuo nao yan nikelele mpooje mabintii
 
Hizi mambo nilishashindwa since I was young,.nna mikono,akili timamu,nimesoma nna uwezo wa kutambua fursa na kuitumia aiseee siombi ng'ooo kwanza hela ya kupewa haitoshi hata upewe million utaona bado ndogo,..ukinipa hewala usiponipa hewala vilevile am happy na kile kidogo ninachokitafuta kwa jasho langu,..watu ombaomba(in relationship) ni wavivu wa kuwaza na kutenda vilevile.
Hapa naendelea kuorodhesha mademu wa JF wasioomba hela, hadi hapa nishapata 4, baadae nitatoa list kamili, teh!
 
Hahaaaa mi napenda mwanaume anipe akisikia chochote alicho nacho bila kumwomba naona ananijali heeeh
Umeongea pointi nzuri hivi kujali ni kupi huko wengi huwa tunafail hapo..Zawadi ndogo ndogo si ndiyo?
 
Tatizo tusipoomba wanaume hamjui kujiongeza na hapo unaona kabisa babe anauhitaj lakin wala hujishughulishi ...........
Inshort wacha tuendeleee kupiga vizinga na wala hatuachi kuomba hela hata mseme tunauza ndio tunaendelea na kuuuza !!!!! Binafsi nakuchora kama mwezi au miwil kama mtu ni mstaarabu hivi afu naropoka tu babe nashida na laki 5 au 8 sura kavuu ,hapo utajijua mwenyew kama hata papuch ulishaomba au bado hilo mimi halinihusu as long as umeanzisha mawasiliano kwa madai unanipenda lazima pochi ihusike.
Afadhali wewe bibie umeamua kuonyesha rangi halisi.. Ila ni vema pia kama vizinga vyako ni laki tatu mpaka nane.. Inaonyesha haupo cheap.. Ila ni kwanini usiwe unapiga vizinga ufanyie mambo ya maaana kama labda ufungue biashara na uache tabia ya kughasi kuombaomba hela?
 
Hapa naendelea kuorodhesha mademu wa JF wasioomba hela, hadi hapa nishapata 4, baadae nitatoa list kamili, teh!
Kuomba hela mbuzi ni kujidhalilisha. Omba mtaji hata wa kufungua genge utakuwa unapata hizo pesa kwa ajili ya mahitaji madogo madogo. Wanawake wenzangu.... Tupunguze na kuacha kupiga mizinga isiyo na sababu za msingi sana.
 
Afadhali wewe bibie umeamua kuonyesha rangi halisi.. Ila ni vema pia kama vizinga vyako ni laki tatu mpaka nane.. Inaonyesha haupo cheap.. Ila ni kwanini usiwe unapiga vizinga ufanyie mambo ya maaana kama labda ufungue biashara na uache tabia ya kughasi kuombaomba hela?

Biashara ninayo na hata nikiongeza ....siachi kuomba hela maana kwangu ni ishara ya heshima na upendo
 
Kuomba hela mbuzi ni kujidhalilisha. Omba mtaji hata wa kufungua genge utakuwa unapata hizo pesa kwa ajili ya mahitaji madogo madogo. Wanawake wenzangu.... Tupunguze na kuacha kupiga mizinga isiyo na sababu za msingi sana.
Umenena vema sana.. Siwez kuongeza zaidi
 
Biashara ninayo na hata nikiongeza ....siachi kuomba hela maana kwangu ni ishara ya heshima na upendo
Hapo sasa naona utakuwa na tatizo.. Yaani una biashara ya kukuingizia kipato halafu unaomba hela? Ina maana wewe pesa yako ya faida ina kwenda wapi kama lazima uendelee kypiga mizinga wakati una biashara kukuingizia? None sense
 
Tatizo tusipoomba wanaume hamjui kujiongeza na hapo unaona kabisa babe anauhitaj lakin wala hujishughulishi ...........
Inshort wacha tuendeleee kupiga vizinga na wala hatuachi kuomba hela hata mseme tunauza ndio tunaendelea na kuuuza !!!!! Binafsi nakuchora kama mwezi au miwil kama mtu ni mstaarabu hivi afu naropoka tu babe nashida na laki 5 au 8 sura kavuu ,hapo utajijua mwenyew kama hata papuch ulishaomba au bado hilo mimi halinihusu as long as umeanzisha mawasiliano kwa madai unanipenda lazima pochi ihusike.
Ndio maana unaelekea miaka 40 kazi kuruka kwaito kwenye harusi za wenzio.

Ndoa mtazisikilizia chereko,TBC.

Hongera single mama mtarajiwa.
 
Siwezi nini?!
Mwanaume hata kama una shida kweli anadhani wamchuna tuu!! Wakati huo wa kumuomba sina wafanyakazi wenzangu niwakope?? Sina marafiki niwakope??
Narudia siwezi kumuomba mwanaume hela yake!! Dharau huwa zinaanzia hapo wacha nife na shida zangu!!
 
Back
Top Bottom