Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Hivi nyie mademu, pesa haswa ni sh ngapi?

Hapo sasa naona utakuwa na tatizo.. Yaani una biashara ya kukuingizia kipato halafu unaomba hela? Ina maana wewe pesa yako ya faida ina kwenda wapi kama lazima uendelee kypiga mizinga wakati una biashara kukuingizia? None sense

Tatizo langu nmelikubali na nina lifurahia...... hata huo unon sense ninaupenda zaid !!!!! Na usitake au kulazimisha wote tufanye kama unavyotaka wewe .
 
Ndio maana unaelekea miaka 40 kazi kuruka kwaito kwenye harusi za wenzio.

Ndoa mtazisikilizia chereko,TBC.

Hongera single mama mtarajiwa.

Nani amekuambia kuwa tunaolewa tuu.....inshort nachagua na kuangalia who to marry na sio ilimradi mtu tuuu ,,,,,
Tatizo mnaamin wanawake wapo desperate for marriage kwamba ukimfata tu unataka kuoa basi anakubali siku hizi hiyo haipo . Hata nikizaa will be grateful na nitampenda saana mwanangu !!! Chereko naziangilia na wakati wangu ukifika nitaolewa.
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Wanawake wote duniani wanapenda kupokea. Hata kama hauombi lakini moyoni utakuwa Unataka upewe. Mwisho wa siku unamkacha mshikaji unaenda unakopewa.

Note: all women are attached to material.
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
kumbe iwe nyi mndu mka?
 
Najaribu kukumbuka wapi niliwahi kuomba sikumbuki.
Tamaduni nyingine tuwa aachie wenyewe.
[emoji274]
Hakuna demu anayeomba, ila zile simu imeharibika, leo naumwa, ningekua na hela ningeenda hospitali. Kodi inatisha mwezi ujao, kuna kiatu nimekuona,sikua na salio ndo mana sinaku SMS etc.
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Sa kwanini ulimwacha!?
 
Hakuna demu anayeomba, ila zile simu imeharibika, leo naumwa, ningekua na hela ningeenda hospitali. Kodi inatisha mwezi ujao, kuna kiatu nimekuona,sikua na salio ndo mana sinaku SMS etc.
Haijawahi kunitokea. ...inamaana kabla ya kuwa na huyo mtu, nilikuwa najiendeshaje kimaisha?
Mambo mengine wanaume mnayataka wenyewe....

Fikiria wanaume wakigoma kutoa vizinga, mademu wataenda wapi?
Sema ndio mfumo uliokomaa kuuacha/kuuvunja inatuchukua muda sana.
 
Mi nilikuwa na boyfriend simuombi hela wala nini had akawa ananishangaa nami spendagi kuomba hela au Mimi ni mshamba kuliko wanawake wenzangu had najionaje cjui cpendi kujidhalilisha nakuomba omba
Hongera sana Cariha..
 
Kuna hii mentality kwamba mademu wengi wanapenda pesa. Ila mi nimekuwa nikipata shida sana kuelewa hichi kitu.

Nilitaka kujua kwa wanawake ili useme jamaa yangu ana pesa ni kwamba anatakiwa awe na pesa kiasi gani?

Unakuta kwa mfano kuna demu tu wa uswazi ukiwa kila siku unampa vocha ya 1000 halafu kila mwisho wa wiki unampa labda 20000 kimahesabu hapo ni kama ki 150k kwa mwezi na demu anaweza kukuona huyu jamaa yangu ana pesa kinoma.

Upande mngine unakuta demu wa corporate world ama wa chuoni akishamuona mshikaji ana kagari cha 10M halafu kila mwisho wa week wanakula bata hata za 100 plus vi mzinga vya 50k 70k .. Hapo anaamini mshikaji ana pesa.

Wakati deep down, hayo mambo mtu mwenye kipato cha 3M anaweza kuyafanya hayo yote na akati mtu mwenye uwezo qa 3M kwa mwezi ni mtu wa kawaida tu.

Swali: Ni kwanini wanawake mnakuwa cheap sana? Mnaangalia material things halafu material things zenyewe ni hivo vi elfu sabini hamsini..

Mjumbe hauawi.. Jiwe limetua ikulu.. Kama nakuona wewe demu unajiandaa kudanga kwa jamaa yako mwenye pesa.. Pesa yenyewe sh ngapi kwanza?
Nakupa BIG UP jamani ni kweli mtu akipewa kalaki hatulali wengine wanapewa mabilioni kimya hawaongei jamani.
wapendwa mnajua wenye hela kweli?
 
Haijawahi kunitokea. ...inamaana kabla ya kuwa na huyo mtu, nilikuwa najiendeshaje kimaisha?
Mambo mengine wanaume mnayataka wenyewe....

Fikiria wanaume wakigoma kutoa vizinga, mademu wataenda wapi?
Sema ndio mfumo uliokomaa kuuacha/kuuvunja inatuchukua muda sana.
Kama hujaolewa, mi pia niko single.
 
Back
Top Bottom