Hivi nyie mabinti mnaodate na wazee mko timamu kweli!?

Kitchetche

Member
Apr 2, 2017
71
77
Binti miaka 21+ uko na mzee 70+ unamuita mpenzi, unamruhusu kabisa achezee mwili wako?, ni mapenzi au unasaka hela, umaarufu, unakomoa au ndo maisha yamekua ivo?
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.
 
Mkuu elewa maana ya 21+ na 70+ maana wote wakiwa 75 inamaana wanaingia kwenye hizo range zako.
 
Hao unao wazingumzia ni kama huyu..?
IMG-20170512-WA0007.jpg
 
Binti miaka 21+ uko na mzee 70+ unamuita mpenzi, unamruhusu kabisa achezee mwili wako?, ni mapenzi au unasaka hela, umaarufu, unakomoa au ndo maisha yamekua ivo?
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.
Wewe umepigwa gape na babu sio bure, komaa kutafuta mbesa sio kuja kulalamika hapa, vinginevyo utakua unanyang'anywa kila siku
 
Binti miaka 21+ uko na mzee 70+ unamuita mpenzi, unamruhusu kabisa achezee mwili wako?, ni mapenzi au unasaka hela, umaarufu, unakomoa au ndo maisha yamekua ivo?
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.
Tujuze uliye nae ana miaka mingapi?kisha nawe una miaka mingapi?halafu we ni me/ke!!?tena na picha zenu zote na huyo uliyenae.tukusasambue vizuri
 
Kitu madorali sasa we kaa na huo ujana wako alafu usiwe na pesa utatusikia ktk redio mbao tu
 
Binti miaka 21+ uko na mzee 70+ unamuita mpenzi, unamruhusu kabisa achezee mwili wako?, ni mapenzi au unasaka hela, umaarufu, unakomoa au ndo maisha yamekua ivo?
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.
Tunazo
 
Hawa mabinti wanaopenda kutoka na Wababu Wazee, wanamuiga Raisi wa nchi ya Ufaransa.
Yeye anatoka na Mbibi
Je naye amefuata pesa ?
Hapa kuna jambo limefichika
Ngoma droo.
Simba 1 Yanga 0
 
Imwandikwa wapi kuzuia wasitoke nao. Basi katoke nao wewe. Even old goats have rights to eat green leaves. Acha ujinga tafuta. Kudadadeeki.
 
Back
Top Bottom