Hivi nyie mabinti mnaodate na wazee mko timamu kweli!?

We unamuona jacky Ntuyabaliwe kwamba hana akili???? Pata pesa tuone kama na wewe utatembea na vibibi
 
Haya yapo sana na mimi nishashuhudia jamaa yangu ambaye yuko vizuri tu katemwa na binti mmoja matata sana ila nilipokuja siku kufuatilia nikaambiwa Wazee wanakaza kizee yaani hawasex kwa muda mrefu lakini pesa yao inapatikana kirahisi sana, vijana wengi mnakomoa mnaposex na pesa yenu kuipata ni kwa manati sana. Pia care ya wazee ni kubwa kuliko ya vijana.
 
Huyo 70+ sijui unamwitaje shemeji si ni kumtakia laana mdogo wako huku
 
Binti miaka 21+ uko na mzee 70+ unamuita mpenzi, unamruhusu kabisa achezee mwili wako?, ni mapenzi au unasaka hela, umaarufu, unakomoa au ndo maisha yamekua ivo?
Imenibidi niombe kujuzwa kotoka kwenu kupitia huku Jf kwa wakubwa, maana huku mtaani kwetu imekua kama fashion mabinti kutoka na baba zetu.
Pesa
 
Penzi la mzee huwa halina stress..... Afu ni full package yani, unahudumiwa, unabembelezwa, attention A, ni wanyenyekevu anajua hapo ndo pressure yake na sukari vinashushwa anakutreat good, wazee wanajua kujali sana hata kama hana muda wa kutoka anakupa kifurushi anakuambia toka out ukapunge upepo mama, na wana show za kibabe ukikuta anaependa nyaps, kama sio mpenzi sana basi kimoja chake cha mkwezi anapumzika na ANAKUJAZA......kila unachosema jibu ndio mama, sawa mama, nita jitahidi kufanya hivo mama na ahadi zao za ukweli (wazee wana mengi ngoja niishie hapa)

Ninyi vijana sasa ,stress ndo nyumbani kwao mtoto wa watu kila siku umlize yani umegeuka kitunguu, kujali hujali upo bize na marafiki tu utadhani ndo wanakupa utamu, hela huna Ikitokea umempa ki buku ten hadi paka wako anajua leo umetoa buku ten, bado hajakufuma na michepuko kibao, bado hujaomba hela za mwanamke wako, kitandani unasua sua aaaggrr.....

Wazee wangu wa nguvu popote mlipo nawapenda sana!!!!!
 
Uzee mwisho chalinze mjini kila mtu baby.
Acheni wazee wawasaidie maana vijana hamjitumi kabisa kutafuta hela.
 
Vijana ndio muda wa kutafuta na wazee walitafuta zamani sasa ndio wanatumia hawawezi kufanana labda tatizo no kuandaa watoto yatima wengi baada ya baba zao kufa na mama wapo umri wa 30+ nje na hapo hakuna mwanaume apendaye wazee wote tunapenda vitu visivyotumika sana
 
Akifa watoto wanakuwa yatima na insurance za kutosha.
Wanaanzaje kuumia na uyatima?
Haujui pesa ndiyo kila kitu?
 
Kwan mwenyewe Mali cyo yatima!? Mama atabaki mjane katika umri mdogi!
The same thng may happen hata kwa vijana wenye umri mdogo.
Kumbuka kinacho guarantee kifo siyo umri peke yake..
Kuwa yatima na ujane na ugane kila mtu lazima apitie hivyo hamna kipya.
Ila raha ni kuachwa mjane na miradi ya kutosha ,.
 
Penzi la mzee huwa halina stress..... Afu ni full package yani, unahudumiwa, unabembelezwa, attention A, ni wanyenyekevu anajua hapo ndo pressure yake na sukari vinashushwa anakutreat good, wazee wanajua kujali sana hata kama hana muda wa kutoka anakupa kifurushi anakuambia toka out ukapunge upepo mama, na wana show za kibabe ukikuta anaependa nyaps, kama sio mpenzi sana basi kimoja chake cha mkwezi anapumzika na ANAKUJAZA......kila unachosema jibu ndio mama, sawa mama, nita jitahidi kufanya hivo mama na ahadi zao za ukweli (wazee wana mengi ngoja niishie hapa)

Ninyi vijana sasa ,stress ndo nyumbani kwao mtoto wa watu kila siku umlize yani umegeuka kitunguu, kujali hujali upo bize na marafiki tu utadhani ndo wanakupa utamu, hela huna Ikitokea umempa ki buku ten hadi paka wako anajua leo umetoa buku ten, bado hajakufuma na michepuko kibao, bado hujaomba hela za mwanamke wako, kitandani unasua sua aaaggrr.....

Wazee wangu wa nguvu popote mlipo nawapenda sana!!!!!
Daaaah una experience sana bidada
 
Umetumia nguvu nyingi kuhalalisha ukahaba (kujiuza kwa pesa). I can tell umetokea kwenye familia yenye maisha duni sana Evelyn Salt
 
The same thng may happen hata kwa vijana wenye umri mdogo.
Kumbuka kinacho guarantee kifo siyo umri peke yake..
Kuwa yatima na ujane na ugane kila mtu lazima apitie hivyo hamna kipya.
Ila raha ni kuachwa mjane na miradi ya kutosha ,.

Wote wanaodate na vibabu iwe me/ke kinachosababisha hivyo ni umaskini na uvivu wa kutafta hela, dada inaonyesha kwenu nyie maskini ndo maana uko willing hata kulala na babu ili upate hela. cute b
 
Back
Top Bottom