Matusi gani mkuuNyama hizo tamu sana ila huyu interest yake ilikuwa matusi![]()
Uko sahihi sana mkuu.Huyo si chui, ni aina ya paka pori.
Huo paka pori anaiwa lynx
Wew awe amekuvamia kwako utasubiri kwenda maliasili kuomba kibali?huu ni uhalifu. Unahitaji kuwa na kibali toka mali ya asili cha kumuua huyo chui/chita.
Fanya mpango mkuu nataka hiyo ngozi!!Huku kwetu leo tumemkamata huyu chui mla kuku wetu. Wananzengwe kwa machungu wameamua kumla. Je ni salama kula huyu mnyama?
![]()
![]()
![]()
Cjui hata imepelekwa wapi. Nimeondoka maana sikupenda shuhudia watu wakila paka.Fanya mpango mkuu nataka hiyo ngozi!!
Duh, hatari. Hiyo nafananisha na kama kula paka aisee. Hao jamaa wanakula nyara ya serikali.



Uko sahihi sana mkuu.
Huwezi kumla myama anaekula nyama bali unatakiwa kula mnyama anaekula majani!!
Nilitaka shangaa chi gani anaacha watu ,mbuzi aje ale kuku ....Sio chui huyo.ni paka flani la porini lina miguu mirefu.
Chui ni mnyama mkubwa na ana nguvu huyo ni aina ya wild cat