Hivi nyama ya chui inaliwa?

Hivi nyama ya chui inaliwa?

Hakuna lynx Africa wakuu. Lynx wanapatikana Ulaya, America na Asia. Africa tunae CARACAL amabae pia huitwa African lynx just kwa maana amefanana umbile na lynxy ila SIO lynx. Ni kweli sio cheetah huyo pichani. Huyu anaitwa SERVAL CAT. Yupo confined only in Africa. Serval cats ni omnivores kwa maana wanakula nyama as well as majani in some occasions. Anapendelea ukanda wa juu, kwa Tanzania sehemu zenye uhakika wa kumkuta ni Kilimanjaro NP na Serengeti NP. Navyofahamu CATS wote hawaliwi ila uamuzi wa mwisho ni juu ya mlaji.

Kama mhifadhi sikushauli kula na pia ni kosa kwa maana hiyo ni nyara ya serikali, sina hakika kama kibali kimetolewa.

Kuna mdau hapo juu kauliza, kama ingekuwa amekuvamia wewe ungesubiri hadi uende kupata kibali Maliasili ndio uje umuue\?
 
Ni lynx au paka pori huyo duma ni mkubwa aisee...na chui hamna afrika
 
Kuna mdau amesema huyo ni lynx nimegoogle huenda akawa lynx kweli.
 
Hakuna lynx Africa wakuu. Lynx wanapatikana Ulaya, America na Asia. Africa tunae CARACAL amabae pia huitwa African lynx just kwa maana amefanana umbile na lynxy ila SIO lynx. Ni kweli sio cheetah huyo pichani. Huyu anaitwa SERVAL CAT. Yupo confined only in Africa. Serval cats ni omnivores kwa maana wanakula nyama as well as majani in some occasions. Anapendelea ukanda wa juu, kwa Tanzania sehemu zenye uhakika wa kumkuta ni Kilimanjaro NP na Serengeti NP. Navyofahamu CATS wote hawaliwi ila uamuzi wa mwisho ni juu ya mlaji.

Kama mhifadhi sikushauli kula na pia ni kosa kwa maana hiyo ni nyara ya serikali, sina hakika kama kibali kimetolewa.

Mkuu ni kweli Anaitwa SERVAL.
 
Huku kwetu leo tumemkamata huyu chui mla kuku wetu. Wananzengwe kwa machungu wameamua kumla. Je ni salama kula huyu mnyama?
3157b8675f550f9f4b708a300d135d81.jpg
d8c76ea469156329cd75993a47b35618.jpg
2274f290714f5b4fc6ca3b72805b75b6.jpg
Nyama ni nyama! Twende Kazi!
 
Sio chui yaani wamemuua one of the majestic animal in the world the ultimate predator ,maskibi c
Duma wetu hivi hawako protected hawa?maana survial yao tata kidogo hawa wakizaliwa vitoto usual only one survive to adult hood
 
Huko ni kupatwa Kwa chui haina madhara kama ilivo ya paka
 
Principo za wapi hizo mkuu Mbona Noah anakula sio nyama tu ila kila kitu hata kitanda kikikaa vibaya., lakini bado anafanywa kitoweo tena ghali duniani??
Unashangaa kula noa analiwa mpaka binadamu je wewe unakula binadamu
 
Principo za wapi hizo mkuu Mbona Noah anakula sio nyama tu ila kila kitu hata kitanda kikikaa vibaya., lakini bado anafanywa kitoweo tena ghali duniani??
eti hata kitanda kikikaa vibaya, duuuh
 
Back
Top Bottom