supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
--nahisi lengo lake aipate ngozi, kuhifadhi ngozi ni ushujaa hasa unapouwa mnyama pori au hata kuwamba ngoma.
Jiwe na mikwaju yakutosha.Amepigwa risasi?,..
Mkuu......Mkuu jibu sahihi bado sijapata![]()
![]()
Mkuu......
Ebu tazama picha ya mkata nyama, mkao wa mkata nyama, uelekeo wa mkata nyama, anapo tazama mkata nyama, alipo shika mkata nyama, kisu cha mkata nyama kilipo, nyama ilipo anzia wa kukatwa nk:
Jibu mbona rahisi sana aiseee....
Mkuu.....Nyama hizo tamu sana ila huyu interest yake ilikuwa matusi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bado tena sijaambulia kitu mkuu
Uko sahihi, ni paka pori huyo.Kumla kuna ukakasi kiasi.Huyo si chui, ni aina ya paka pori.
Huo paka pori anaiwa lynx
Kuna mwanajeshi mmoja alishaniadithia hadithi za kenge,unaambiwa ni mtamu balaakuna kenge walikua wananisumbua sana basi nlikua kila nkiawakamata nawapika supu aisee kenge waiosalimika wote walishahama huu mtaa
Sio Chitah wala Chui, n jamii tofaut tu ya paka, inakula wanyama wadogo wadogo, ndege na wadudu, hana uwezo hata wa kuua digi digi labda Kawe kagonjwaHuyo ni chitah kiswahili ni duma sio chui
acha mtu mkuu kenge ni mtamu sana sema ndo hvyo huwez kuwambia watu maana wanaweza kukuchkulia tofauti ila ukipata bahat ya kuonja walau cku moja basi utakuwa unawasaka hatariKuna mwanajeshi mmoja alishaniadithia hadithi za kenge,unaambiwa ni mtamu balaa