Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Nasikia ni mtamu sana, namlia timing aingie kwenye 18 zangu nimjaribu. Hivi maandalizi yake yakoje?acha mtu mkuu kenge ni mtamu sana sema ndo hvyo huwez kuwambia watu maana wanaweza kukuchkulia tofauti ila ukipata bahat ya kuonja walau cku moja basi utakuwa unawasaka hatari