Hivi nitakuja kuoa kweli!!

Hahahahah.. Kasamehe tu mkuu.. Kashenz Sana ako
 
Kumbuka na hako katoto ka kiume kanazaliwa na mwanamke. Kama mama yako alivyokuzaa wewe.

Basi kama unawachukia wanawake na mtoto unamtaka na kama kuna njia ambayo mwanaume anaweza kukuzalia mtoto fanya hivyo raha jipe mwenyewe
Sichukii wanawake,nawapenda Sana, na ndio maana huwa nataman kupata katoto kamoja ka kike.

Tatizo lang lipo kwny abali za kuoana tu.
 
Ata mie nilisha kata tamaa kumpata mke wa kuoa! Wote nawaona mapaparazi tu..
Kama ni hivyo basi oa mchungaji[emoji23][emoji23]muwe mnaamka usiku kusali na kula tunda,ila jipange anasa za dunia basiiii..
 
Kama ni hivyo basi oa mchungaji[emoji23][emoji23]muwe mnaamka usiku kusali na kula tunda,ila jipange anasa za dunia basiiii..
Mchungaji nampata wapi sasa aliye single!
 
mkuu unayopesa unilipe milioni moja tu kwa wiki nikufunde akili yako itabadili mtazamo wako na utapenda ndoa mnoo
 
Zama makanisani wako wengi...ila jipange kupanga na kupangua maswali ya vifungu vya biblia[emoji12] [emoji12]
Jamani yaani niende kanisani kwa nia ya kumtongoza mtumishi(mama mchumgaji)
 
Mkuu, nimesema sina tatizo lolote la kiafya.. Huenda nilikuwa nawito WA kipadri, sema ndio vile siku concentrate mapema!!
Mapadri wenyewe sometime yanawashinda wananjunjuu kama kawa na wengine wana watt..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu unayopesa unilipe milioni moja tu kwa wiki nikufunde akili yako itabadili mtazamo wako na utapenda ndoa mnoo
Labda iyo pesa nkupe unizalie kadogo Kisha uniachie mwanang!!
 
WE ushaolewa mtoto mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…