Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,842
Hahahah.. Tuambizane mkuu, kamefanya nn hako ka usukumani!!Tuko pamoja mkuu. Hata mimi nimeghairi. Nilikachemkia kabinti ka Kisukuma majuzi hapa kidogo kaniue kwa presha. Yaani hivi vibinti vya kisasa aisee ni kazi tena pevu.
Kwa sasa nimeamua kumkazania Mungu na mengine yote katika dunia hii ni madogo. Nina amani na ridhiko la kweli. Wakati ukifika bila shaka nitapata ishara otherwise kama ulivyosema, siyo lazima wote tuoe. Hapo nakubaliana nawe kabisa kwa asilimia 100 zote kabisa !
Anapiga punyetoHivi mkuu umefikilia nini kupost thread kama hii saa 8 ya usiku,
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Lala mkuu ,
UTAOA TU.
Mkuu km unafanikiwa ukiwa nae oa. Tena usimuache aende!!Aisee hilo swala even mm linanipa wakati mgumu sana.... Sitak kuoa ila manzi niliyenae saivi ana akili za maendeleo knoma, kila anachonishauri kinafanikiwa.. nahisi kushikwa
Hivi watu bdo wanapiga nyeto kweliAnapiga punyeto
Sizan kwa upande wng!!Wakati muafaka wa kuoa ni pale unapokua tiyari kuoa. Wakati ukifika msukumo wa kuoa toka ndani ya moyo wako utakufanya uhitaji kuoa kuliko kitu kingine.
Siku ukipita jkt ndio utajuwa kulala Lala kwa mtoto WA kiume ni haramuMuda ulio post uzi inaonyesha bado ulikua usingizini nadhani ukiamka utaoa tu
Hahahahaa"Kama unaona kuoa ni shida, basi jaribu kuolewaeeee"
.
.
.
Naimba tu!
Nimejitambulisha kwao. Niko siriazi kabisa. Nakahudumia vizuri. Familia ya kenyewe wakanifahamu vizuri. Mimi nakaheshimu nasubirisha siku ya harusi kumbe kenyewe kanampa papuchi yangu ex wake. Sasa eti kanalia kanaomba msamaha mpaka kupitia kwa mchungaji wetu mi hata hisia nako sina tena. Yaani hovyo sana mkuu!Hahahah.. Tuambizane mkuu, kamefanya nn hako ka usukumani!!
wanawake huchuki ila kilicho ndani ya ya wanawake unachukia? anyway OA kwa hisani yako umri unaenda kwanza utasikia raha sana ukiitwa Dad hakuna raha kama hiyo niamini..Tatizo mkuu unanilisha maneno. Wapi nimesema nachukia wanawake. Hivi ningekuwa nachuki dhidi ya ke ningetamani kupata mtoto WA kike?
Nawathamini tena Sana tu..
Wewe wasema!!Wewe sio mzima
Sawa!!Kama huwezi kuoa basi fanya mpango uolewe!
Unafananishane kutembea na mtu na ndoa!! Unaelewa chochote khs ndoa?Sasa utashindwa vipi kuoa wakati tiyari ushatembea na hao hao wanawake? Hizi akili hizi sijui tumelogwa na nani!!! ungeniambia unatamani kuanzisha mahusiano kwa mara ya kwanza lakini unaogopa hapo sawa/ lakini ushakula tena ukaacha halafu unasema unaogopa!!!