Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu.
Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi. Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati anasaidiwa na mtu kwa maslahi mapana ya afya zetu?
Pengine ni hali ya maisha inapelekea hivi mtu anajifunguwa hajamaliza mwezi anakuja kuuza chakula mgahawani na anamuogesha nje hapo bila aibu.Nauliza ninyi watu wa afya hamuoni ongezeko la hii hali au ni kawaida mtueleweshe mtu kama mimi.Huyu mtu kwanini msimwambiye alee kwanza mtoto wakati anasaidiwa na mtu kwa maslahi mapana ya afya zetu?
Kila mwanamke akijifungua, anatamanii alale mwezi mzima, apumzike anywe supu.
Shida sasa Hali ngumu, mwingine hata hapo anapoishi mchana hapalaliki!
Na akilala ndo anakufa Njaa.