CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Ni ratiba yangu ya kawaida kabisa asubuhi nafagia uwanja,kisha nachukua mkokoteni nafata maji,kisha namuogesha mtoto wetu anayesoma primary std1 na kisha kumtengea chai na kumpeleka shule then naenda job ambapo sio mbali na nnapoishi.
Nikirudi jioni naenda tizi(football)
Nikitoka tizi napiga bafu kisha nafua nguo za mtoto wetu mdogo wa miezi 8 na baada ya hapo namsaidia wife kupika.
Mshahara wangu yeye ndiye anayeumiliki na kuupangia matumizi na ata nikitaka ya voucher namuomba yeye.
Yote hii ni mahaba na mapenzi kwa mke wangu.
Huu ni utaratibu wangu niliojiwekea,sasa jana kuna maneno nimeyasikia mtaani kwetu eti nimelishwa 'limbwata'kha,kwani mke wangu huyu nilimuoa aje kufagia uwanja?mwenzenu sina uwezo wa kumuwekea house girl that's why nimeamua kuchukua nafasi ya house girl.....sasa jee kufanya hivi ni 'UBWEGE'?
Mbona mm naona ni kawaida tuu?hasa kama kweli unampenda mkeo?