Ahahahaa pole sana mkuu mbona wengi wanajua na sifichiMungu anisamehe bure najua siku zote wewe ni mwanaume
ushawahi kulala polisi tangu uzaliwe?mpige nwanao tu wakumzaa mtoto wa mwenzio atakupa kesi haswa mtt wa kikeHello JF!
Ebana wakuu, kuna manzi wangu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.
Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.
Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana nitarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".
Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.
So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo nitakua nakosea?
Yaani mimi huwa nasoma maoni yako humu na kuangalia jina la Naiman nika conclude ni me dah samahani sana
Kwa nini ujichoshe kwa kumfikilia mwanamke ambaye siyo mke???timua mkuu atarudi baadaye anatembelea magoti mwenyewe wala huna haja ya kupata kesi ya shambulio la mwili.Hello JF!
Ebana wakuu, kuna manzi wangu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.
Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.
Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana nitarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".
Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.
So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo nitakua nakosea?
Nunua viazi sado na kuku akiwa hai mpelekee ajipikie mwenyewe chipsi kuku!! Ngoma droo!!!
Ushachelewa ww wa kupiga huwa haulizi tena umechelewa kweli uyo ilitakiwa awe kishakimbia kwa ajili ya kichapo.Tena usipopiga mlete usiku huu nikusaidie uje kesho kupeleka hospital.
Sent using Iphone 7+
hahaaaaaaaa....... mbavu zangu mie kumpeleka hospital au leba?Ushachelewa ww wa kupiga huwa haulizi tena umechelewa kweli uyo ilitakiwa awe kishakimbia kwa ajili ya kichapo.Tena usipopiga mlete usiku huu nikusaidie uje kesho kupeleka hospital.
Sent using Iphone 7+
My philosophy on fleekUsimpige kwa ngumi ila kwa upande wa kanga. Mletee hiyo chipsi na kuku na kabia kama anakunywa. Halafa ukipanda usiku huu hadi aseme po!