Hivi nikimkung'uta mangumi huyu binti, nitakua namuonea?

Hello JF!

Ebana wakuu, kuna manzi wangu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.

Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.

Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana nitarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".

Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.

So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo nitakua nakosea?
ushawahi kulala polisi tangu uzaliwe?mpige nwanao tu wakumzaa mtoto wa mwenzio atakupa kesi haswa mtt wa kike
 
Yaani umemtibua na hako kamalaya badala utatue tatizo,unawaza kumgaia kipigo! jaman narudia tena mwanamke si ngoma tusikubali kupigwa.Anayempiga mwanamke huyo namchukulia kama muhuni tu anastahili kupelekwa jela.
 
Hello JF!

Ebana wakuu, kuna manzi wangu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.

Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.

Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana nitarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".

Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.

So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo nitakua nakosea?
Kwa nini ujichoshe kwa kumfikilia mwanamke ambaye siyo mke???timua mkuu atarudi baadaye anatembelea magoti mwenyewe wala huna haja ya kupata kesi ya shambulio la mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushachelewa ww wa kupiga huwa haulizi tena umechelewa kweli uyo ilitakiwa awe kishakimbia kwa ajili ya kichapo.Tena usipopiga mlete usiku huu nikusaidie uje kesho kupeleka hospital.

Sent using Iphone 7+
hahaaaaaaaa....... mbavu zangu mie kumpeleka hospital au leba?
 
Back
Top Bottom