Hivi nikimkung'uta mangumi huyu binti, nitakua namuonea?

Mhhhh! wanawake hatupendani. ..jamany wakati mwingine hasira tu.,ila sio kwa kumchamba huko.
Ahahahaa hapana mkuu nawapenda sana ke wenzangu, tambua ni mke tu ndio mwenye uhalali wa kamwita mwizi wake jina lolote lile maana atakuwa anatetea ndoa yake lakini si yule aliyebeba kifuko chake cha nguzo na kwenda kuishi kwa bwana bila kukabidhiwa na wazazi wake halafu amwite ke mwenzie Malaya, tatizo huwa tunajisahau sana mkuu kujipa hadhi zisizostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello JF!
Ebana wakuu, kuna manzi angu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.

Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.

Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana ntarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".

Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.

So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo ntakua nakosea?
Duh kweli wewe jamaa kiboko yaan umeona Jf hapajakufaa umeona ushauri hadi kwenye kipindi cha Diva....Nilivyosikia nimejikuta nacheka kwa nguvu mwenyewe...Kwa hilo Big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanawake wana vioja vyao hata Muumba anajua ndo maana amesema tuishi nao kwa akili sio kwa ubabe....huyo we mpuuze tu, akitaka chips kama pesa ipo we mpelekee tu tena anaweza akala kuku kidogo akasema ameshiba we achana nae.... inshort mi wangu huwa namuangalia tu akianza mapepo ya rangi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampime mkojo tu,hakuna namna.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Nakushauri usimpige mwache anune mpka hasira zake zitakapoisha ,,, mununulie viaz na kuku mwache apike kama hataki nawe uchune ingia upike mwenyewe,

Mm nilishawahi kumpiga mpka baadae nikawa na mwonea huruma alafu tulikuaa wapenzi ,hakumwambiaa MTU yeyote, ila walikuja kujua baada ya siku NNE. Toka kipindi hicho nimeapa sitampiga tena mwanamke.
 
Nunua panga na kinoleo. Nenda nalo home ukiwa umemnunulia na chips kabisa. Kabla hamja lala, linoe vizuri alafu mlale. Asubuhi mkiamka, chukua tena panga, linoe vizuri, usiku ukirudi linoe vizuri huku ukiwa unaongea nae vizuri na kumpa kila atakacho... Hazipiti siku mbili atapika au ataondoka mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushachelewa ww wa kupiga huwa haulizi tena umechelewa kweli uyo ilitakiwa awe kishakimbia kwa ajili ya kichapo.Tena usipopiga mlete usiku huu nikusaidie uje kesho kupeleka hospital.

Sent using Iphone 7+
Dah kuna watu ni wakatili hapo ni msosi tu kagoma kupika ndio kichapo hiki? Ukimkuta anapumuliwa unafanyaje?
 
Ahahahaa hapana mkuu nawapenda sana ke wenzangu, tambua ni mke tu ndio mwenye uhalali wa kamwita mwizi wake jina lolote lile maana atakuwa anatetea ndoa yake lakini si yule aliyebeba kifuko chake cha nguzo na kwenda kuishi kwa bwana bila kukabidhiwa na wazazi wake halafu amwite ke mwenzie Malaya, tatizo huwa tunajisahau sana mkuu kujipa hadhi zisizostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anisamehe bure najua siku zote wewe ni mwanaume
 
nani aliwah kufungwa kwa kumpiga mpenziwe?

Wanaofungwa ni wale wanaopiga wapenzi wao hadi umauti, ogopa sana kunyooshea MTU mkono dunia ya sasa unaweza ishia jela bila kuamini. Bora hata umuachie ghetto kwa siku mbili kuliko kupiga maiti zinazotembea. Naogopa sana hiki kizazi cha sasa hivi Kofi moja tu MTU anaangukia kisogo kwaheri nimeona hii imemtokea ndugu yangu. Anaozea jela SAA hii kwa kisa Kofi moja tu. Ndio basi tena maisha yake yashaharibika na guilty inavyomsumbua hatuoni kama na yeye ataishi muda mrefu.
 
Back
Top Bottom