Hivi nikimkung'uta mangumi huyu binti, nitakua namuonea?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,059
Hello JF!

Ebana wakuu, kuna manzi wangu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.

Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.

Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana nitarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".

Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.

So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo nitakua nakosea?
 
Back
Top Bottom