Hivi nikimkung'uta mangumi huyu binti, nitakua namuonea?

NEVER NEVER EVER UINUE MKONO KWA MPENZI AU MKE WAKO;usifikirie uamuzi kama huu huu ni unyama wa hali ya juu kupiga ,huu ni ushenzi wa hali ya juu kupiga,kama ulivyoshauriwa hapo juu .nami ninaapa hapa siku mtu yeyote yule atakayeinua mkono kwa binti yangu ndio siku nitapata murder case.mke au mpenzi dawa ni maongezi .
 
Hongera dogo.Huyo tayari ana mimba changa.kwahiyo jiande kulea.sisi tuliotangulia tunajua hizo ni dalili mhimu za mama mtarajiwa kwa mara ya kwamza.Ila sina uhakika kama unaweza kuwa ndiyo baba halisi.
 
Hello JF!
Ebana wakuu, kuna manzi angu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.

Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.

Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana ntarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".

Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.

So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo ntakua nakosea?
Kwani kwelikuna mwanamke mwingine?
 
Tatizo wewe hujalijua, hormones zinamsumbua hyo...dawa yake umnyooshe vizuri kitandani,we fanya kama wengine hapo walivyosema mpelekee chips kuku kama anavyotaka,usiku mbembelezi kdgo alafu mpe dozi ya kueleweka, uje kuona kama heshima haitarudi..achana na hzo mambo za kumpga! huyo ni GF tu mkuu
 
Hello JF!
Ebana wakuu, kuna manzi angu kaja toka juzi hapa gheto kwangu kunitembelea lakini nafikiria hata kumtimua kwa maudhi anayonifanyia.

Issue iko hivi, jana jioni mimi na yeye tulikua na misunderstanding ndogo kati yetu lakini yeye akajifanya ndo ana hasira sana na anaejua kununa, akagoma kupika msosi, nikaona isiwe case nikaenda restaurant kula nikamchukulia na yeye nikampelekea pale gheto.

Leo asubuhi nimeamka nikamwekea pesa mezani, nikamwambia mchana ntarudi na washkaji zangu kugonga menu, sasa huyu binti alivyo kisirani, nimerudi mchana nikakuta zile pesa ziko pale pale mezani, kumuuliza kwa nini hajapika msosi ananibinulia domo eti "mwambie yule malaya wako aje akupikie".

Anyway nikaona tena isiwe case nikajiondokea zangu kwenda misele, jioni hii ananitumia text eti nikirudi home nimpelekee chipsi kuku. Nimemtafakari nimeona huyu mwili unamuwasha na ana hamu ya kukung'utwa.

So wakuu, kwa hivi visa ninavofanyiwa na huyu binti nikimshushia kichapo ntakua nakosea?
Hajui kupika uyo anatafuta sababu tu.
 
Back
Top Bottom