Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,189
Sweetlady na Bebii wako wapi maana naona wamepata mpinzani lol
swtlady wa vin diesel.
Ngoja nimpigie bebii aje kujibu mashambulizi.
Sweetlady na Bebii wako wapi maana naona wamepata mpinzani lol
Tumekulea vema it seems.... Good gal...
Yaani we acha tu mwenzangu
Kipipi nimejitahidi ila tatizo ni moja tu nilimwambia niko nje ya Tanzania na sitegemei kurudi hivi karibuni labda hilo ndio tatizoWe una uhakika gani kama hakupendi bana??? Komaa nae tu......atafutae hachoki!! heheheh ila uwe unapima na majibu anayokupa aisee!!
hahahaha! Atampa presha jux tu. Wengine humu hatupresheki. Lol!
Watu wengine tungekuwa tunapata mazali kama haya wala tusingekuwa tunazidisha hata sekunde...:lol:
What i like ni KUPENDWA,lakini KUPENDA ni KIBARUA kigumu!