Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Mama angu hawezi kuwa mtoto wa kike kwangu. changa mdomo wako Faiza.

Kama hawezi kuwa mtoto wa kike kwako, kwa wengine ni mtoto wa kike tu, hata ufanye nini.

Kama unaweza kung'enua meno na kunitaka nichunge mdomo wangu, ungeanza kwa kuchunga mdomo wako.

Fanya heshima nawe utafanyiwa heshima, uniite "mtoto wa kike" wakati nnakuzaa huku nnakwenda mbio. Umesahau kuwa mama'ko ni "mtoto wa kike" vile vile.

Vipi kwa mama'ko inakuuma kwa mama za wenzako kuwaita kidharau unaona ni vyema?

Shika adabu yako na adabu ikushike. Kama hujafunzwa na mama'ko basi hapa utapata darsa, amma endelea utovu wa adabu amma jifunze kuwa na adabu. Usifikiri wote ni wakuchezewa humu JF.

Faidika na Darsa la FaizaFoxy.
 
Basi yaaishe Mama angu. Lakini usizoee kuja kwenye Mabarza ya wanaume.
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Kweli unatumika kama k
 
Kuna barza la mwanamme na la mwanammke hapa JF? au ndio mama'ko alivyokufundisha hivyo? mama'ko angekuwa hapiti "mabarza" ya kiume angekuzaa wewe?
 
Sasa yameisha au ndo unatafuta sifa.
 
Baada ya kupitia michango ya baadhi ya wachangiaji nimegundua kuwa hata kiingereza kwao ni mtihani, lakini hudhani wanajua kumbe hawajui kama hawajui. Hata hivyo nawasifu kwa kufaulu mtihani wa matusi na Shetani atawatunuku vyeti muda si mrefu mwaka 2015 watakaposhuhudia tukielekea Ikulu kwa mara nyingine na Mabasi ya Kijani wao wakibaki vichochoroni na viroba huku wakilalamika tumeibiwa? , hatukubali?, hatumtambui Rais, hatujadili hotuba yake? na baadaue tutawaita Ikulu na kunywa chai na maandazi, wakitoka midomo kuku midomo yao inameremeta mafuta ya maandazi wao kimyaaaaa.

buku saba inafanya kazi
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

ukomavu gani wewe mwenyewe umekuwa mfano kama sio uharo umeendaki.cheap politician
 
Mkuu kwanza I salute you,pili napenda ufahamu kuwa chama chochote cha siasa kilichosajiriwa kisheria ni tasisi,ndani kwa vyovyote vile lazima kuwepo mawazo na mitazamo tofauti kabisa hivyo ni vigumu tendo la mtu mmoja kuliona kama ndio msimamo wa tasisi husika,tatu hayo yote kwenye blue color naona ni tuhuma tu zinazositahili kupuuzwa unless uzithibitishe kwa ushahidi pasi shaka yoyote or otherwise utakuwa unachuki binafsi na chama husika.

Mtoa mada ana fikra mgando na siasa za hila, tuna vyama vingi vya siasa kwa nini cdm tuu, wangapi wanakasoro hata ccm wapo kwa nn uwataje viongozi wa cdm, una lako jambo ama la sivyo ww ni mngese.
 
kwanza wewe mwenyewe umeonyesha ni jinsi gani uko empt set kufanya analysis! you are so weak in political science. Kama huna hoja ya kuchangia ni vema ukakaa kimya au changia hoja za wenzako sio lazima na wewe uonekane umepost!! Haya umeshatimiza lengo lao, nenda kachukue posho yako lumumba!.

Jifunze kufanya uchambuzi wa kisayansi, sio tu kupost ushabki wako hapa. i.d.i.o.t!

Pole sana ewe kijana mwenyewe mtindio wa ubongo, nakusikitikia kwakutumia mda wako mwingi kuandika pumba hizo

tatizo lenu ccm ni wazee wa matamko vitendo sifuri

Mleta mada bila shaka ulibemendwa ukiwa mchanga,tuwalaumu zaidi wazazi wako.

HIVI UMEANDIKA NINI HASA??Maana unapoleta post yenye mlengo unakuegemea wewe na kutuambia unahitaji hoja kwa kipi hasa katika hayo uliyandika yanahitaji majibu?your very iron head and i thing you never change your mind unless otherwise there are an external force may be applied to you.Also your level of thinking is zero and am not expect that your reach the "ABSRACT LEVEL"But your in pre-operation stage that's why you fail to write a logical statement.
UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA KULIKO UTUMWA WA MWILI".TAFAKARI

Huna jipya na hoja yako ni ya kitoto sana plz change your mind.unauliza chadema imefanya nini??kwani ndiyo iliyoshika nchi"kamuulize jk

umekaliwa makalion

Kama una mtoto muoneshe ulichoandika kama hatakutemea mate cjui

Lakini watu wanajaa kwenye mikutano ya hicho chama unachotaka kutuaminisha kuwa kimekosa mvuto! Na mbona basi usitaje CUF, NCCR, DP, UMD au UDP? (Oops, nimekumbuka! Ukifanya hivyo - I mean kuvitaja hivyo vyama tofauti na CHADEMA- hutapata buku 7)

Makusudically, naona umeingia jamvini bila hata kupiga hodi, pole sana ndugu yangu. Kama hizi ulizotoa ndizo hoja, heri urudi huko huko ulikotoka...JF inakuzidi kimo. Ni ushauri tu dogo.

Huyu jamaa kaanzisha hii Id baada ya kupigwa ban mchana

Umejiunga leo, na unaanza na pumba. Kachukue b7.

Wewe mwenyewe huna hoja umejaza viroja ati unataka hoja. Duh!!! Elimu yako ikoje huenda hata hoja hujui!! Unaposikia watu wanasema hoja nawe unakurupuka na udwanzi wako eti unataka hoja??? Lete hoja ujibiwe kwa hoja.

Hivi leo hii ukiambiwa au kusikia kuwa baba yako ni mimi Kayamgo utaanza kujiita Makusudically Kayamgo? Kama sio basi tangu leo achana na kuambiwa maana ni umbea na ya kusikia ni majungu. GT hatuendeshwi kwa umbea, majungu na uzushi, jipambanue tukujue.

Hivyo viroba ulivyopewa unywe ktk mkesha wa kuzaliwa chama chakavu hapo Mbeya havijaisha? Nadhani vikiisha utajitambua pale utakapojikuta huna hata nauli ya kukurudisha kwenu maana mafuso yote yalishaondoka.

Junior MemberArray

Join Date : 2nd February 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0

Kwa hiyo wewe kuandika huu utumbo wa panya hapa ni ukomavu wa akili au, inaonekana wakina zitto wanakukanyaga sio hivihivi, mtoto mashalaah.

biblia inasema mjibu -------- sawasawa na upumbavu wake,kwahiyo ukitukanwa ukubali maana wewe ni mjinga,unaweka hoja za kizamani tena za uongo,ushauri wangu achana na ccm boya wewe,tukanwa tu
i

Nenda kapumnzike kwanza maana Lowasa ameshakutafuna ubongo wote.

Anakichwa cha nguruwe!

Duh huku siyo rahisi kupata haki zenu labda U.S.A coz Ma Gay huku hawakubaliki kabisa, kule U.S.A na sikia ata ma mbwa wanaowa

ulitaka yafanyike kwa sababu zipi? ulitaka ule uhuni wa ccm Arusha kuvuruga uchaguzi wa meya maandamano yake yakafanyike Moshi???? Au ulitaka uhuni wa ccm Mwanza wa kuvuruga halmashauri ya Ilemela kwa kumtumia Matata,wanamwanza wakafanyie maandamano Moshi???? nilidhani unaakili kumbe mpuuzi unayetumia madako kufikiri!!!!!

Kweli unatumika kama k

naona kichwa chako kimechoka kalale

buku saba inafanya kazi

ukomavu gani wewe mwenyewe umekuwa mfano kama sio uharo umeendaki.cheap politician

Mtoa mada ana fikra mgando na siasa za hila, tuna vyama vingi vya siasa kwa nini cdm tuu, wangapi wanakasoro hata ccm wapo kwa nn uwataje viongozi wa cdm, una lako jambo ama la sivyo ww ni mngese.

Sifa ya kwanza ya MISUKULE ni kutokuwa na uwezo wa kutumia akili zao.
Naamini kutoka moyoni kuwa wote waliochangia hapo juu ni MISUKULE.

Makusudically ametoa angalizo mapema. Kwamba kama huna hoja pita tu pasipo kusema chochote. Lakini jionee wewe mwenyewe, baada ya vijana MISUKULE wa dj mbowe na babu slaa kushiba mbege, gongo, viroba bange wamepotea ufahamu.

Baada ya kupoteza akili kichwani ni matusi kwende mbele tu. Kwao hizo ndio hoja za maana.

Makusudically big up sana kwa analysis yako. Kiukweli CHADEMA ni genge la wahuni wanaotumia vijana MISUKULE kama mtaji wao ili waweze kupiga pesa.

CHADEMA inaongozwa na wachumia tumbo wenye njaa kali wasiosita hata kuua binadamu pale wanapoona unakwamisha malengo yao ya kupiga pesa.

Ndio maana CHADEMA hakina jengo la ofisi za makao makuu. Wanajua kabisa kwamba ni chama ambacho kitatakiwa kusambaratika mara moja pindi tu malengo yatakapotimia ya kupiga pesa ndefu.
 
Jengo la makao makuu.wewe kizazi cha zinaa .unaamini Mungu ni muweza wa yote .wapi jengo la makao makuu ya Mungu .lilipo !? .ulaaniwe wewe uliye kizazi cha zinaa usiye sadiki pasipo ishara
 
Division v at work
 
Sasa yameisha au ndo unatafuta sifa.

Kila utapokuja na kujibu bila heshima na adabu najua hayajaisha. Fanya adabu, sifa unaijuwa lakini? pata darsa dogo la sifa; Jee, ulipozaliwa mama'ko alijisifia kwa wakwe zake au hakuwajuwa ni akina nani? ukijibu hilo utaijuwa maana ya sifa.

Sifa pia ni ile nta inayotiwa kwenye pachupachu za vyombo vya baharini vilivyotengenezwa kwa mbao ili visiingize maji, kama huijui imekaaje, inabidi ujichokonowe taka zako za masikio kisha zitazame, zinuse, utachokiona na kukinusa hicho ndio mithili ya sifa. Sifa iliyo bora inatokana na nta ya nyuki.

Faidika na Darsa la FaizaFoxy.
 
Sioni sababu ya kubishana na mwanamke huyu, amekurupuka akiwa na hawara yake chumban na kutoa mada
 
Kila utapokuja na kujibu bila heshima na adabu najua hayajaisha. Fanya adabu, sifa unaijuwa lakini? pata darsa dogo la sifa; Jee, ulipozaliwa mama'ko alijisifia kwa wakwe zake au hakuwajuwa ni akina nani? ukijibu hilo utaijuwa maana ya sifa.

Sifa pia ni ile nta inayotiwa kwenye pachupachu za vyombo vya baharini vilivyotengenezwa kwa mbao ili visiingize maji, kama huijui imekaaje, inabidi ujichokonowe taka zako za masikio kisha zitazame, zinuse, utachokiona na kukinusa hicho ndio mithili ya sifa. Sifa iliyo bora inatokana na nta ya nyuki.

Faidika na Darsa la FaizaFoxy.

Sawa, Nimekuelewa mama angu.
 
Acha matusi kijana, inaonekana hata akili yako bado haijawa na uwezo wa kufikiri, nadhani kama ni umri wa akili ni miaka 2 hadi 3,

Back
Top Bottom