Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Sichangiagi vioja mimi nenda zako
 
mtoa hoja kajipange hoja yako haina mashiko
 
Dudumizi mtandaoni kaingiaje!!!!! Haya makitu tumezoea kuyaona sehemu zenye machaka ya kijani!!!
 
Nimeipenda ,,, hasa ya Kuwaandamanisha watu wa mikoa mingine (ili wapigwe risasi) na siyo wa Kilimanjaro. wa Kilimanjaro wabaki salama inatia mashaka kama hiki kweli ni chama cha siasa au ni genge la watu fulani wa kutoka eneo fulani wenye malengo yanayofanana pengine kutengeneza fedha/kulaghai wananchi. Hebu mwenye ushahidi kuwa maandamano yaliyoratibiwa na CDM yalishawahi kufanyika Moshi na yakasababisha mauaji apost humu JF
 
Makusudically, baada ya kuona heading yako nilitamani kukujibu, lkn niliposoma bandiko lako, sikuona haja tena ya kukujibu maana nimegundua umeandika propaganda tupu, wala huna haja ya kujibiwa.
 
Nimeipenda ,,, hasa ya Kuwaandamanisha watu wa mikoa mingine (ili wapigwe risasi) na siyo wa Kilimanjaro. wa Kilimanjaro wabaki salama inatia mashaka kama hiki kweli ni chama cha siasa au ni genge la watu fulani wa kutoka eneo fulani wenye malengo yanayofanana pengine kutengeneza fedha/kulaghai wananchi. Hebu mwenye ushahidi kuwa maandamano yaliyoratibiwa na CDM yalishawahi kufanyika Moshi na yakasababisha mauaji apost humu JF

Poti, chambua masuala acha propaganda
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.
Manchester city 0-1 chelsea FT
 
Junior MemberArray

Join Date : 2nd February 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0

kumbe mwenzetu ndio kwanza kapata ajila yake juzi pale lumumba! hongera zake
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Bangi zingine bwana! cju mna vutaga saangapi,,
 
Tunahitaji kuwasaidia watu kama hawa,wanaothubutu kuhujumu harakati za ukombozi.
Kikubwa Ni kwamba mfumo wenu wa kupeana vyeo kwa kujuana anaelekea mwisho,na bado.
 
Malengo ya chadema ni kukukomboa wewe kifikra na kukupa uwezo wa kuyatawala mazingira yako
 
baada ya kufuatilia siasa za chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
chama kujinadi kuwa kina hofu ya mungu
chama cha ukombozi wa watanzania
chama makini
chama cha watanzania
chama chenye mvuto
haya ndiyo yanayofanyika chini ya chama hiki:
-kupiga ngumi viongozi wake wa mikoa kama mwigamba, yonan.k
-kunyang'anya labtop ya mwigamba na kumpatia mbowe atumie.
-kufukuza wanachama bila kufuata katiba
-kutangaza kupigana ngumi kama mawazo ya serikali 3 yakipingwa
-kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa kilimanjaro
-wafuasi kutumia lugha za matusi, kashfa hata mitandaoni.
-k/mkuu kuiba mil.140 kutoka kwenye taasisi anayoiongoza.
-m/kiti kukatisha ziara ya mb wa kike na kumtoa marekani hadi dubai
-kuwafukuza akina edo,shonza, na kuwazulia zengwe akina zzk.
-kutoa kipengele cha ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti taifa
-kutumia mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-kutupa mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
Naomba hoja siyo matusi. Kama mtu atajisikia kuwa hawezi kujenga hoja siyo lazima kujibu. Hii ni kwa ajili ya wakomavu wa siasa pekee.

kama akili hauna si uazime hata ya mwanao?
 
Baada ya kupitia michango ya baadhi ya wachangiaji nimegundua kuwa hata kiingereza kwao ni mtihani, lakini hudhani wanajua kumbe hawajui kama hawajui. Hata hivyo nawasifu kwa kufaulu mtihani wa matusi na Shetani atawatunuku vyeti muda si mrefu mwaka 2015 watakaposhuhudia tukielekea Ikulu kwa mara nyingine na Mabasi ya Kijani wao wakibaki vichochoroni na viroba huku wakilalamika tumeibiwa? , hatukubali?, hatumtambui Rais, hatujadili hotuba yake? na baadaue tutawaita Ikulu na kunywa chai na maandazi, wakitoka midomo kuku midomo yao inameremeta mafuta ya maandazi wao kimyaaaaa.
 
Back
Top Bottom