Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Ndugu yangu Yericko Nyerere,Wangama na SOKON, mbona mimi sikutukana au hata kukashfu?, Kwani wewe cdm wanakupatia buku ngapi ili utukane?, cdm wanafanys matendo gani yenye tija kwa Taifa ili sisi walala hoi maisha yakaboreka? Nilionya tangu Mwanzo nataka wachangiaji wenye hoja sio vioja.
Wewe mwenyewe huna hoja umejaza viroja ati unataka hoja. Duh!!! Elimu yako ikoje huenda hata hoja hujui!! Unaposikia watu wanasema hoja nawe unakurupuka na udwanzi wako eti unataka hoja??? Lete hoja ujibiwe kwa hoja.
 
HIVI UMEANDIKA NINI HASA??Maana unapoleta post yenye mlengo unakuegemea wewe na kutuambia unahitaji hoja kwa kipi hasa katika hayo uliyandika yanahitaji majibu?your very iron head and i thing you never change your mind unless otherwise there are an external force may be applied to you.Also your level of thinking is zero and am not expect that your reach the "ABSRACT LEVEL"But your in pre-operation stage that's why you fail to write a logical statement.
UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA KULIKO UTUMWA WA MWILI".TAFAKARI
Hapo hajaelewa kitu kabisaaaa yaaani katoka mtupu mwandikie kwa lugha yake ya darasa la pili. Ulipoongeza na English ndio umempoteza kabisa
 
Hivi leo hii ukiambiwa au kusikia kuwa baba yako ni mimi Kayamgo utaanza kujiita Makusudically Kayamgo? Kama sio basi tangu leo achana na kuambiwa maana ni umbea na ya kusikia ni majungu. GT hatuendeshwi kwa umbea, majungu na uzushi, jipambanue tukujue.
 
Hivyo viroba ulivyopewa unywe ktk mkesha wa kuzaliwa chama chakavu hapo Mbeya havijaisha? Nadhani vikiisha utajitambua pale utakapojikuta huna hata nauli ya kukurudisha kwenu maana mafuso yote yalishaondoka.

Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.
 
Junior MemberArray

Join Date : 2nd February 2014
Posts : 4
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given0
 
Ndugu yangu Yericko Nyerere,Wangama na SOKON, mbona mimi sikutukana au hata kukashfu?, Kwani wewe cdm wanakupatia buku ngapi ili utukane?, cdm wanafanys matendo gani yenye tija kwa Taifa ili sisi walala hoi maisha yakaboreka? Nilionya tangu Mwanzo nataka wachangiaji wenye hoja sio vioja.

Ungetenda haki na kustahili kusikilizwa zaidi kama ungetengeneza ulinganifu wa CHADEMA na vyama vingine hasa hasa kile ulichotaka kukitetea. Baada ya kumaliza madhambi yote ya CHADEMA na viongozi wake, ungetuwekea na yale ya CCM, CUF, NCCR-Mageuzi n.k.

Naamini ungegundua (unajua huvyo) kuwa haya uliyoyasema yangekuwa kama tone la maji kati ya bahari la madhambi ya chama chako!
 
Oh!!! Hoja jamaa anataka majibu juu ya hoja. Ndugu leta hoja siyo huu ..... Upe jina mwenyewe. Kazi unayo maana unaonekana unakihoro hujielewi.
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Kwanza nakupongeza kwa kuuliza maswali ambayo yote yanatokana ukweli mtupu wa mambo yalivyo ndani ya magwanda.

Pili, nnakuhakikishia hakuna hata msukule mmoja utakaoweza kuja na jibu la maana kwa maswali yako, kwani yamewaingia na hawana majibu.

Tatu. Nakushauri usiwajibu kabisa, umeshauliza maswali wacha wahangaike nayo.

Hao ndio chadema na hao ndio mapunguani wachache wanadhani Watanzania tupo tayari kuwapa madaraka.

Wananshangaza!
 
Kwa hiyo wewe kuandika huu utumbo wa panya hapa ni ukomavu wa akili au, inaonekana wakina zitto wanakukanyaga sio hivihivi, mtoto mashalaah.
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.
biblia inasema mjibu -------- sawasawa na upumbavu wake,kwahiyo ukitukanwa ukubali maana wewe ni mjinga,unaweka hoja za kizamani tena za uongo,ushauri wangu achana na ccm boya wewe,tukanwa tu
i
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Nenda kapumnzike kwanza maana Lowasa ameshakutafuna ubongo wote.
 
Ndugu yangu Yericko Nyerere,Wangama na SOKON, mbona mimi sikutukana au hata kukashfu?, Kwani wewe cdm wanakupatia buku ngapi ili utukane?, cdm wanafanys matendo gani yenye tija kwa Taifa ili sisi walala hoi maisha yakaboreka? Nilionya tangu Mwanzo nataka wachangiaji wenye hoja sio vioja.

Kwa ufupi ni kwamba wanazindua wananchi pale mambo yanapokuwa yanatekelezwa ndivyo sivyo. Hiki chama hata kama kina upungufu fulani kwa kuwa hakuna aliyemkamilifu, lakini kinasaidia kukiamusha chama tawala ili kiisimamie Serikali vizuri. Kwa wewe hutaki kuamshawa, unataka kuendelea kulala usingizi ?
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.
Duh huku siyo rahisi kupata haki zenu labda U.S.A coz Ma Gay huku hawakubaliki kabisa, kule U.S.A na sikia ata ma mbwa wanaowa
 
Kwanini maandamano hayafanyiki moshi?

ulitaka yafanyike kwa sababu zipi? ulitaka ule uhuni wa ccm Arusha kuvuruga uchaguzi wa meya maandamano yake yakafanyike Moshi???? Au ulitaka uhuni wa ccm Mwanza wa kuvuruga halmashauri ya Ilemela kwa kumtumia Matata,wanamwanza wakafanyie maandamano Moshi???? nilidhani unaakili kumbe mpuuzi unayetumia madako kufikiri!!!!!
 
CDM mnapobanwa kwa hoja mnamatusi hongera mtoa mada CDMA chama cha makanjanja na wazinzi mwenyekiti wao ameshindwa kulichangia taifa kwa kulala guest za bei nafuu bongo kaenda Dubei
 
kwanza wewe mwenyewe umeonyesha ni jinsi gani uko empt set kufanya analysis! you are so weak in political science. Kama huna hoja ya kuchangia ni vema ukakaa kimya au changia hoja za wenzako sio lazima na wewe uonekane umepost!! Haya umeshatimiza lengo lao, nenda kachukue posho yako lumumba!.

Jifunze kufanya uchambuzi wa kisayansi, sio tu kupost ushabki wako hapa. i.d.i.o.t!

Wewe ndo idiot....kama mwenzio kakosea ungemsahihisha kwa huo uchambuz wako wa kisayansi na c kuleta shobo...
 
Back
Top Bottom