Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Hivi nia ya CHADEMA ni nini?

Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

pumba tupu! unataka hoja zipi kwenye huu uharo wako uliojaa ushabiki mandazi! jitambue acha kuwa punda!
 
Hujaacha tuu tabia zako za kishoga....utaliwa 0713.... Jtambue ucwe mtumwa wa fikra

umeandika nini sasa zaidi ya uharo tu!!! nani anakujua huko magambani hadi ujidharilishe hivi kwa kutetea upumbafu! jitambue!
 
Kwa iyo wewe mburura ina maana moshi hakuna mttz mbona na mikutano yote ya kishari mnaifanyia arusha.mbeya na iringa? CoZ mnaogopa ndesamburo hawezi kukubali upuuzi mnakimbilia kwa vilaza sugu name lema
 
Baada ya kufuatilia Siasa za Chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
Chama kujinadi kuwa kina hofu ya Mungu
Chama cha ukombozi wa Watanzania
Chama Makini
Chama cha Watanzania
Chama chenye mvuto
HAYA NDIYO YANAYOFANYIKA CHINI YA CHAMA HIKI:
-Kupiga ngumi Viongozi wake wa Mikoa kama Mwigamba, Yonan.k
-Kunyang'anya Labtop ya Mwigamba na kumpatia Mbowe atumie.
-Kufukuza wanachama bila kufuata Katiba
-Kutangaza Kupigana Ngumi kama mawazo ya Serikali 3 yakipingwa
-Kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa Kilimanjaro
-Wafuasi kutumia Lugha za Matusi, kashfa hata mitandaoni.
-K/mkuu kuiba Mil.140 kutoka kwenye Taasisi anayoiongoza.
-M/kiti kukatisha ziara ya Mb wa kike na kumtoa Marekani hadi Dubai
-Kuwafukuza akina Edo,Shonza, na kuwazulia zengwe akina ZZK.
-Kutoa kipengele cha Ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-Kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti Taifa
-Kutumia Mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-Kutupa Mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
NAOMBA HOJA SIYO MATUSI. KAMA MTU ATAJISIKIA KUWA HAWEZI KUJENGA HOJA SIYO LAZIMA KUJIBU. HII NI KWA AJILI YA WAKOMAVU WA SIASA PEKEE.

Kuna haja ya kuanzishwa jukwaa la Uzushi, Umbea na Majungu! !
 
nimekudharau hata kabla ya kuchangia ,AIBU YA MILELE IKUAANGAZIE WEWE NA FAMILIA YAKO .
 
ulitaka yafanyike kwa sababu zipi? ulitaka ule uhuni wa ccm Arusha kuvuruga uchaguzi wa meya maandamano yake yakafanyike Moshi???? Au ulitaka uhuni wa ccm Mwanza wa kuvuruga halmashauri ya Ilemela kwa kumtumia Matata,wanamwanza wakafanyie maandamano Moshi???? nilidhani unaakili kumbe mpuuzi unayetumia madako kufikiri!!!!!
matusi yako ni chakavu sana, tafuta mapya!
 
HIVI UMEANDIKA NINI HASA??Maana unapoleta post yenye mlengo unakuegemea wewe na kutuambia unahitaji hoja kwa kipi hasa katika hayo uliyandika yanahitaji majibu?your very iron head and i thing you never change your mind unless otherwise there are an external force may be applied to you.Also your level of thinking is zero and am not expect that your reach the "ABSRACT LEVEL"But your in pre-operation stage that's why you fail to write a logical statement.
UTUMWA WA FIKRA NI MBAYA KULIKO UTUMWA WA MWILI".TAFAKARI

Wow!! Kuna kitu kizuri ulitaka kuandika, lkn hapana...your English is poor and deserves no attention at all and, conversely, mtoa mada is worthless for being bias and blind on realities.
 
Kwanza nakupongeza kwa kuuliza maswali ambayo yote yanatokana ukweli mtupu wa mambo yalivyo ndani ya magwanda.

Pili, nnakuhakikishia hakuna hata msukule mmoja utakaoweza kuja na jibu la maana kwa maswali yako, kwani yamewaingia na hawana majibu.

Tatu. Nakushauri usiwajibu kabisa, umeshauliza maswali wacha wahangaike nayo.

Hao ndio chadema na hao ndio mapunguani wachache wanadhani Watanzania tupo tayari kuwapa madaraka.

Wananshangaza!

watanzania ni wewe na nani wewe mtoto wa kike.
 
Ndugu yangu Yericko Nyerere,Wangama na SOKON, mbona mimi sikutukana au hata kukashfu?, Kwani wewe cdm wanakupatia buku ngapi ili utukane?, cdm wanafanys matendo gani yenye tija kwa Taifa ili sisi walala hoi maisha yakaboreka? Nilionya tangu Mwanzo nataka wachangiaji wenye hoja sio vioja.

Mkuu,
Hii sio FB, ni JF! Kama uchambuzi wako unaonesha mtindio wa ubongo ulionao tutakwambia tu, Liwalo na liwe!
 
On a scale of 1-10,chances za kuweka hoja mezani ukategemea wanachadema wakujibu kwa hoja ni 1au 2!
Kwa mfano ungetegemea wagawane hivyo vipengele vya tuhuma wajibu kwa hoja lakini wameamua kugawana matusi,kila mmoja anakuja na tusi lake!
CCM sio wema wala wasafi ila kupeleka vurugu ikulu na matusi ni jambo la kupinga!
Chadema bado sana!
 
Next time toa Hoja cikujilinganisha na vyama vingine kimtazamo Kama ccm mnajilinganisha na sisi this shows that CDM in roal model wenu and as far as matusi is concerned Mona ndugu yenu waziri anaongoza,na Kama unaongelea kipigana ngumi den marek and na Ghana bungeni wanaongoza kutiana Makonde so and kumjanganya dr. Laptop hiyo ilikuwa personal nenda kaulize Kwao Kama imekutouch na kumtoa mbunge Dubai in swala linalohusu Chama chenyewe.
 
Unategemea usitukanwe kwa kupoteza muda wa wanajf kusoma up....vu huu, nin yako.
 
baada ya kufuatilia siasa za chama hiki yafuatayo yamekuwa yakijotokeza;
chama kujinadi kuwa kina hofu ya mungu
chama cha ukombozi wa watanzania
chama makini
chama cha watanzania
chama chenye mvuto
haya ndiyo yanayofanyika chini ya chama hiki:
-kupiga ngumi viongozi wake wa mikoa kama mwigamba, yonan.k
-kunyang'anya labtop ya mwigamba na kumpatia mbowe atumie.
-kufukuza wanachama bila kufuata katiba
-kutangaza kupigana ngumi kama mawazo ya serikali 3 yakipingwa
-kuandamanisha watu wa mikoa mingine isipokuwa kilimanjaro
-wafuasi kutumia lugha za matusi, kashfa hata mitandaoni.
-k/mkuu kuiba mil.140 kutoka kwenye taasisi anayoiongoza.
-m/kiti kukatisha ziara ya mb wa kike na kumtoa marekani hadi dubai
-kuwafukuza akina edo,shonza, na kuwazulia zengwe akina zzk.
-kutoa kipengele cha ukomo wa uongozi ngazi ya m/kiti il iwe milele
-kuwanyamazisha kipumzi wote wanaonyemelea u-wenyekiti taifa
-kutumia mil.900 kwa siku kumi na nne tu wakati wilaya na mikoa
taabani
-kutupa mabomu kwenye mikutano yao ili kudanganya umma kuwa
eti wanahujumiwa.
Naomba hoja siyo matusi. Kama mtu atajisikia kuwa hawezi kujenga hoja siyo lazima kujibu. Hii ni kwa ajili ya wakomavu wa siasa pekee.
buku 7 at work
 
Back
Top Bottom