King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,342
- 88,521
Kula vizur, fanya mazoezi , pumzisha mwili wako , ukizingatia hayo utaishi Kwa matumaini , by the way unayo nafasi hebu jiamin
Pamoja na kuvificha huko bado Mungu kakuoneshaHabar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona
Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu
AsantenView attachment 2521628
UpHabar wakuu wakati natafuta tafuta brash la Viatu kupekua pekua nimekuta hivi vidonge naomba kujuzwa ni nini hivi kwasabu sijawahi kuviona
Jamani naombeni majibu naona watu mna comment masihara sana naombeni jibu la kuelewek tafadhali naombeni sana majibu
AsantenView attachment 2521628
Na atafute ule wimbo wa Prof. Jay na Feruz ausikilize vizuriSterehe wanazipenda ila mwisho wao mbaya wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya.
Msaidie ku googleKwa nini uanike nje mambo binafsi (siri) kwa sababu ya uvivu uliokithiri? Google ipo kwa kila mtu, na uki"google" utapata majibu bila kujitangaza na kuanika mambo ya mwenzako.
Hakakulia baada ya kujua ni kaathirika?Mimi nilikaotea kamoja nikakapima mziho ukasoma - nikavaa kondom nikala ,ile nimemaliza kitu kinasoma + asee nilidata faster nikamcheki mshkaji ni dr kukapima kweli asee kamewaka,nikapimwa namimi negativ,jamaa akanambia kwa uhakika meza pep,ndio nazi.eza hapa,japo nilipewa nyeupe sio hizo
hizi comments unaweza jikuta upo ICU
Hata kama ana ngoma,, kama anatumia vidonge, hawezi kukuambukiza,, bila hivyo tungeisha,, 🤷🏾♂️Jamani naombeni majibu basi
Madaktari wanasema, dawa hazitambuliwi kwa kuziona tu bali maandishi yake.Sasa me vimenishtua ndomana nimekuja kuuliza huku
Kuna demu 1 alikataa nisimle kavu, nikasema mi mzima, yeye akasisitiza tumia kinga nikagoma, nilichokutana nacho, washukuriwe madaktari, baadae namwambia anasema mi nilikwambia ukakataa
Mimi nilikaotea kamoja nikakapima mziho ukasoma - nikavaa kondom nikala ,ile nimemaliza kitu kinasoma + asee nilidata faster nikamcheki mshkaji ni dr kukapima kweli asee kamewaka,nikapimwa namimi negativ,jamaa akanambia kwa uhakika meza pep,ndio nazi.eza hapa,japo nilipewa nyeupe sio hizo
Usiage mkuu,kwani umeshaenda kupima?
Upumbavu tuIlikuwaje?ulipiga kavu
Daah una moyo sana unapata hata ujasiri wa ku comment! Mwingine hapa lazima tumbo la kuhara likushike. Hapo ndio nilipokuja kugundua kuwa kuhara sio lazima ule au unywe chakula kichafu.Niambie chochote basi
Ohoo...View attachment 2521656
Mkuu hizo ni dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi..sema nae taratibu,ila usipaniko.
ARV ni kutu ingine, na PEP ni jambo ingineARv ndio pep