Hivi ni vidonge GANI?

Mimi nilikaotea kamoja nikakapima mziho ukasoma - nikavaa kondom nikala ,ile nimemaliza kitu kinasoma + asee nilidata faster nikamcheki mshkaji ni dr kukapima kweli asee kamewaka,nikapimwa namimi negativ,jamaa akanambia kwa uhakika meza pep,ndio nazi.eza hapa,japo nilipewa nyeupe sio hizo
 
Hivyo ni vya vitamini hutumika kwa wenye HIV, kila siku humezwa kimoja.
 
Wapiga punyeto tunakuchekii.. alafu tunasema hiiiiiiii... Pole sana
 
Kwani hizo sio PEP mkuu
 
Mtu anatafuta brash kakuta sawa, maana yake hpo ni kwake na bidada wanaishi wote.... Sasa unadhan kuna masaa72 kweli
 
Acha kupekua mikoba ya dada zako
Ohooo

Halafu mavidonge yameshiba kwerikweri kupita kooni lazima uhisi kukwanguliwa
Kwa nini uanike nje mambo binafsi (siri) kwa sababu ya uvivu uliokithiri? Google ipo kwa kila mtu, na uki"google" utapata majibu bila kujitangaza na kuanika mambo ya mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…