Hivi ni vidonge GANI?

Umefanya nikakumbuke katoto fulani ka form 2 kalikua kana virusi vya ukimwi...
Hakua anajua ila alikua anasema mama yake anakunywa dawa kila siku na yeye pia huwa anampa hizo dawa...nilijisikia uchungu sana...wazazi tusiwatese watoto mkiukwaa mjitahidi msiambukize wtt muwahi huduma za afya watt wazaliwe safe...
 
Yah asante nikweli kabisa
 
Okoa uhai mkuu,mleta uzi anajinyea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…