Hivi ni vibaya kulala kwa mzazi mwenza?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
WanaJf nipeni habari? Leo Nina swala Moja linalomhusu rafiki yangu ambaye wf aliondoka wiki iliyopita, aliondoka kumpa hi mzazi mwenza ambaye yasemekana alikuwa anaumwa.

Rafiki yangu anasema alipofika alimtumia text kwamba amefika salama ila kuna dharura imetokea na hawezi kurudi kwa wakati.Ghafla anasema akawa hapokei simu.

After 3 dayz anasema alirudi huku akiwa amesheheni tabasamu (anadai mgonjwa ako na nafuu kwa sasa)ila akimwelezakuwa alishindwa kurudi kwani mzazi mwenza alikuwa amezidiwa pasi na mtu wa kumsaidia ikizingatiwa mke wake yupo masomoni kwa sasa na watoto wako boarding scul.

Jamaa analalamika najiuliza kwani ugumu uko wapi kwanini asitangulize utu na uzalendo kwa mwenzake(Kwa upande wa simu aliambiwa simu ilizingua kioo ,kilijaa wino ndyo amekibadili)Alooo weeee
 
hadithi_za_esopo_cover.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom