Hivi ni ulimbukeni au uelewa mdogo?

Hivi ni ulimbukeni au uelewa mdogo?

jamaniiiiii...mnauaaaaaa...watu wapya mbona wanakoma humuu
 
Huu ndio uandishi wa kisasa....
Bahati mbaya unakuta vijana wasomi wanaugeza.

Kuna jamaa anitumia meseji mpaka niielewe lazima nikereke..ni vifupisho vya namna hiyo hivyo huchukua muda mrefu kuelewa.

Haha hili ni tatizo kubwa sana, asilimia zaidi ya 90 ya watanzania tunafanya makosa mengi sana katika kuandika, kuanzia mpangilio mpaka maandishi. Kuna watu wana vyeti na nafasi kubwa kwenye jamii, ila akiku-text unatumia nguvu ya ziada kuelewa anamaanisha nini.
 
Najivunia kuwa muafrica pia najivunia rangi yangu ya kiafrica na sitamani kujibadirisha rangi yangu.

Je wewe unayejibadirisha kwa rangi ya dukani ni urimbukeni au?

Au wanaume chanzo cha mdada kujibadilisha rangi yake

yako tafadhari.

Sasa unataka ushauri wa nini? Ushauri ikiuona mzur utachukua hatua gani? Na ukiuona mbaya utachukua hatua gani? Au na ww unatafuta faida za kujichubua? Fanya yko dada usijadili wanaojichubua watakushinda
 
Najivunia kuwa muafrica pia najivunia rangi yangu ya kiafrica na sitamani kujibadirisha rangi yangu.

Je wewe unayejibadirisha kwa rangi ya dukani ni urimbukeni au?

Au wanaume chanzo cha mdada kujibadilisha rangi yake

yako tafadhari.

Too many 'r's, are u kurya?
 
Back
Top Bottom