Nenda kwanza kajifunze kuandika ...ndo uje..by the way...(sio mtu akijichubua anaukimbia uafrika.by fid q)
Ushauri na maoni unayoyataka yatakusaidia nini????
Anyway, hao wadada wakija na wenyewe wanaweza kulalamika kuhusu mwandiko wako......
Clalamiki = silalamiki
Bari = bali
Awako = hawako
Cpati = sipati
Ndomana= ndio maana
Naitaji = nahitaji
Bd =bado
Pole sana dada, nicheki pm nikupe uzoefu! mtoto mzuri hupaswi kufanyiwa hivyo! pole sana mrembo, by the way nami nilikuwa namtafuta mwenye sifa kama zako! Mwaaaaa!!!!!
Haha hili ni tatizo kubwa sana, asilimia zaidi ya 90 ya watanzania tunafanya makosa mengi sana katika kuandika, kuanzia mpangilio mpaka maandishi. Kuna watu wana vyeti na nafasi kubwa kwenye jamii, ila akiku-text unatumia nguvu ya ziada kuelewa anamaanisha nini.
Ushauri na maoni unayoyataka yatakusaidia nini????
Anyway, hao wadada wakija na wenyewe wanaweza kulalamika kuhusu mwandiko wako......
Clalamiki = silalamiki
Bari = bali
Awako = hawako
Cpati = sipati
Ndomana= ndio maana
Naitaji = nahitaji
Bd =bado
Ushauri na maoni unayoyataka yatakusaidia nini????
Anyway, hao wadada wakija na wenyewe wanaweza kulalamika kuhusu mwandiko wako......
Clalamiki = silalamiki
Bari = bali
Awako = hawako
Cpati = sipati
Ndomana= ndio maana
Naitaji = nahitaji
Bd =bado
Ambacho nimeki-note hapa kutokana na Hii thread, zaidi ya asilimia 79 ya hawa wadada ambao wame-coment wanajichubua, wanaforce tuwapende. kwa taarifa yenu jibadilisheni mwezavyo kama misukule, wanaume wa sasa tuna-apply Hit and run method.
79%! Wote hawa unawafahamu! Kama ni mtu wa hit and run hata hao wasiojichubua utawafanyia hivyo hivyo..
Clalamiki bari naona wadada wengi awako na rangi zao natural so bd natafakari juu ya ili cpati jibu ndomana naitaji ushauri na maoni
khaa!! Ucraramike bana ...Clalamiki bari naona wadada wengi awako na rangi zao natural so bd natafakari juu ya ili cpati jibu ndomana naitaji ushauri na maoni
Clalamiki bari naona wadada wengi awako na rangi zao natural so bd natafakari juu ya ili cpati jibu ndomana naitaji ushauri na maoni