Hivi ni sahihi kunyamazia hii kampeni inayoendeshwa na Mange Kimambi?

Wadau hii habari ilianza kama masiahara wengi wakabeza kwamba ni kelele tu za mitandaoni, ila kadri muda unavyokwenda naona kampeni inapamba moto!

Huko kwenye magroup ya telegram mambo ni moto, vijana wana hali sana ya kudai uhuru uliopotea!

Nadhani ufike muda tuamue moja, kuungana na hawa wapiganaji au kuwapinga wazi wazi... kukaa kimya nafikiri ni unafiki wa hali ya juu lazima tuchague upande!!
VIJANA NA WATZ UNGANENI HAMNA CHA KUPOTEZA ISIPOKUWA KUKANDAMIZWA NA KUDHULUMIWA KWETU.SAA YA UKOMBOZI NI SASA !!!
 
hat sielewi elewi sijui balimi , ngoj nikalale kwanza balimi zikiisha takuja kusoma upya
 
Ukimwona KOBE kainama ujue anatunga SHERIA

TUNAHAM NAO SAANA HAO WAINGIE BARABARANI
washajisahau kuwa
NCHI HII KUENDESHWA KISTAARABU ISHAPITWA NA WAKATI
 
Back
Top Bottom