Hivi ni sahihi kunyamazia hii kampeni inayoendeshwa na Mange Kimambi?

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,132
27,072
Wadau hii habari ilianza kama masiahara wengi wakabeza kwamba ni kelele tu za mitandaoni, ila kadri muda unavyokwenda naona kampeni inapamba moto!

Huko kwenye magroup ya telegram mambo ni moto, vijana wana hali sana ya kudai uhuru uliopotea!

Nadhani ufike muda tuamue moja, kuungana na hawa wapiganaji au kuwapinga wazi wazi... kukaa kimya nafikiri ni unafiki wa hali ya juu lazima tuchague upande!!
 
Acha kuwa double standard.
Wewe unapunga au unasupport?
Huko kwenye media ushaona mambo ni moto.
Hebu sema unasimamia wapi other wise unampa siro taarifa
 
To be neutral in the time of injustice......... Sijui nini we uko upande wa nini nini, sijui haya maneno aliyasema nani sijui martin Luther king jr
 
2015...UKAWA walishinda mitandaoni,kilichotokea sote tulishuhudia...Vijana wa kitanzania ni waoga sana..
 
Wadau hii habari ilianza kama masiahara wengi wakabeza kwamba ni kelele tu za mitandaoni, ila kadri muda unavyokwenda naona kampeni inapamba moto!

Huko kwenye magroup ya telegram mambo ni moto, vijana wana hali sana ya kudai uhuru uliopotea!

Nadhani ufike muda tuamue moja, kuungana na hawa wapiganaji au kuwapinga wazi wazi... kukaa kimya nafikiri ni unafiki wa hali ya juu lazima tuchague upande!!
 
Tanzania hii hakuna mtu wa kuandamana wala hata usiumize kichwa...hyo tarehe 26/04/2018 wataandamana instagram
 
Back
Top Bottom