Panda gari buguruni Mpaka chanika mwisho.. ukishuka chukua daladala zinazoenda Mbagala... shuka Kitonga Shule... chukua pikipiki nenda kitongaNimeitafuta google map hii shule sijafanikiwa kwakweli, mwenye kuijua iko wapi hapa dar anijuze, nataka niunde group la walimu kama 8 hivi tukajitolee kufundisha ili tunusuru hiki kizazi chetu
Njia ya pili... Panda magari ya Gongolamboto LA Mboto shuka banana..panda magari ya kivule shuka kivule mageti Saba kama sijakosea mwisho wa gari.... Chukua pikipiki Mpaka msongola... ukifika msongola Unaweza mwambia akupeleke Kitonga sec... Hiyo Shule Ipo Karibu na sehemu waliyojengewa wahanga wa mabomu ya Gongolamboto...
Kwa ufupi inapatikana sehemu inayoitwa Msongola