Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
Elimu bure hiyooo!
walimu wapo Ila tatizo kubwa ni wanafunzi jamani
wamepinda hatariii...
wanapiga walimu km hawana akili nzurii....!!
wana vurugu kitonga sio za nchi hii...
walimu wanaogopa kua strict watapigwa na wanafunzi
Mwaka jana ilikuwa vizuri kweli yani
natural selection hiyo mkuu the one with power will survive than a weak .......!!Mkuu Huu Uliouandika Wewe Ni Uchawi Wa Wazi wazi.....
siyo kweli,wengine wamesoma hizo za kata na wakakimbiza hadi university na si wapiga kura wa chama x wala y...think big madamJamani Ambacho hamjelewa ni kwamba, shule nyingi za Kata Tanzania ni makambi ya kufugia watoto, wakue kimaumbo na sio kielimu ili wawe wapiga kura wa uhakika wa chama flani!!!!
Uwezi kuona ajabu katika shule 100 bora za serikali ni 7!!!! What do you expect????
Ngoja nionyeshe support yangu hapa kwa like
la mbeya lilikua la walimu Ila ya wanafunzi hayaonekaniki...Mbona La Mbeya Day Kupigwa kwa Mwanafunzi Limeonekana Haraka? Sasa iweje Waalimu Wapigwe na isichukuliwe Hatua Yoyote?? Au Waalimu Wameshindwa Kuripoti Kwa Mamlaka Husika??
Jamani sio kitonga ya Iringa ni Dar waliko jaa makonda wa daladalaWaliendekeza kunywa ulanzi matokeo yake ni haya!
Kwan hii shule ipo kwenye location gani dsm, naitafutaWakuu Habari Zenu?
Kwa Wale Wanaoifahamu Hii Shule Naomba Watujuilishe Je Shule Hii iliyopo Dar-es-Salaam Haina Mwalimu Hata Mmoja Wa Kusomesha hata Somo Moja La Kiswahili?
DIV-I = 0
DIV-II = 0
DIV-III = 0
DIV-IV = 9
DIV-0 = 94
Nafasi Kitaifa = 3280/3280
Kusoma Tanzania ni kupoteza muda? sio kweli!!!! Shahada yako ikusaidie kutatua changamoto zako katika maisha iwe kwa kujiajiri au kuajiriwa, inaonekana uliamini sana katika maandishi ndiyo maana unajuta na usipobadili mtazamo wako hautatofautiana na hao vijana wakitonga..ni sawa coz watu tumesoma mpaka degree lakini tupo tu mtaani hatuna ishu ivi saivi tutakua nao hao madogo huku kitaa kusoma Tanzania nikupoteza mda mi najilaumu sana kwanini nilisoma na kupoteza hela nyingi kwny ada Af nimeambulia patupu
Chanika ndani ndani hukoKwan hii shule ipo kwenye location gani dsm, naitafuta
Huwezi kuinusuru,bora ukafanye mambo mengine.Shule Ipo Chanika ndani ndani hukoNimeitafuta google map hii shule sijafanikiwa kwakweli, mwenye kuijua iko wapi hapa dar anijuze, nataka niunde group la walimu kama 8 hivi tukajitolee kufundisha ili tunusuru hiki kizazi chetu